Tume yaundwa kuchunguza bodi ya Pius msekwa, shame on you gov | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume yaundwa kuchunguza bodi ya Pius msekwa, shame on you gov

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 19, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,097
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hii ni aibu kweli kweli nasoma gazeti la mtanzania hapa watu wenye akili zao
  wamekaa na akufikiria jinsi ya kutafuna hela wameamua kutengeneza tume yao
  ya kuchunguza bodi ya pius msekwa..hivi kwa msekwa unachunguza nini wakati
  makaratasi yako mezani huu ni uhuni jamani jamani hizi pesa za tume mnachunguza
  kwa nini msipeleke kwuasaidia wale watoto wanaokufa pale mwananyamala kwa kukosa
  msaada wakati wa kuzaliwa jamani???

  Haya tumeanza na tume ya jairo..tukafwata na tume ya kuchunguz abei za mafuta
  saasa mnafwata tume ya pius msekwa na katika zote akuna matokeo mnayosema wamefungwa
  ama wameshtakiwa kwa nini mnakuwa wahuni kama mnaunda tume ya ulaji acheni dhambi
  jamani jamani embu muwe na hofu ya mungu huyo babu katoa go ahead ya maadnishi unamchunguza nini
  zaidi ya kukutana nae mahakamani...

  Nafikiri swala la tume sasa imefika wakati tukome mh pindas na serikali yako ya wahuni
  tumechoka kuundiwa tume zisizo na tija hata kidogo shame on you pinda na wenzako
  mnakaa kufikiria kuokoa wahuni kwa njia ya tume...leo mnatangaza amsafirishi wanyama walio
  hai nje mlikuwa wapi mpaka mshtukiwe kwamba mmeiba wanayma haki ya watanzania ndio
  mnakaa mnaona aibu na kusema wanyama awapelekwi nje tena shame on you
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ndiyo walivyo serikali legelege..
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Umeshapiga mswaki?
   
 4. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hujui Serikari ya maghamba's inaendeshwa kwa mtindo wa tume?????? Kupoteza muda ilimsahau au kutafuta namna ya kupotezea, wanafikiri watu wote ni wajinga!!!
   
Loading...