Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) yaliyofanyika Visiwani Zanzibar mnamo Julai 19, 2025.
Pia soma:
~ Dkt. Khalid Mohamed: Tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo, Teknolojia inakua, faragha za Watu zinaingiliwa
~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100
~ Morogoro: Warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi
~ Je, unazifahamu haki zako kama mhusika wa taarifa binafsi?
~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ishughulikie wanaosambaza taarifa zetu kiholela