Nimesikitishwa saana na huu udhaifu wa TUME hasa katika hili. Pengine naanza kuamini baadhi ya kauli za watu kwamba kuna watu pale TUME wanatumika na hii inapelekea kukurupuka na kufanya maamuzi bila kushirikishana na baadhi ya viongozi wa tume (wasafi)..Haiingii akilini kwamba Jaji Kaijage(one of the best Learned brothers) tuliobaki nao nchini akurupuke kufanya yale maamuzi ya kipumbavu.Ni basi tu Tindu Lissu angeweza kukaa kimya asiseme chochote ila najua impact ingekuwa mbaya kwake na chama chake ( kwa sheria zetu za kipuuzi)Hawa majaji hata kiingereza chenyewe ni shida
Sasa nani aliziweka kwa Lugha.hiyo adhimu?lissu alisemaga kingereza shida hata kwa majaji na sheria ziko katka lugha adhimu ya kingereza
Mwamba wa Singida huyo!!Sheria wametunga wao hata kutafsiri hawawezi,watanyooka tu
Kuhusu Lissu nadhani hawamjui vizuri mtu wanaye deal nae,au wamejitoa ufahamu,wawaulize maspika wa bunge,maraisi waliopita,Mahakama,Polisi etc
Hizo taasisi zimepata shida sana kwa kujaribu kupimana ubavu na Lissu
Na amesema barua inatakiwa imfikie yeye sio kupelekwa makao makuu,wachukue tu Bodaboda kama jana wamuwaishie Hai
Huko walipo wanaomba po,kwa wapigakura.Anawachakaza CCM
Amewachakaza na NEC
NI YEYE
Na magoti wanapigaHuko walipo wanaomba po,kwa wapigakura.
Jiandae kisaikolojia utakapojua ukweli wa huyo unayemshabikia ni hatari sana kuliko nyoka swila.Aibu tupu!
Ni wazi kuwa hata Magufuli alistahili kuenguliwa kwa makosa aliyoyafanya katika kujaza form za uteuzi, makosa yaliyosababishwa na maelekezo potufu ya Tume.