Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.
Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.
Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?
Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao.