Tume ya uchaguzi inapokea fomu za wagombea wa CCM ila wa upinzani wanafunga ofisi na afisa kakutwa mtaani baada ya kukimbia ofisi.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
4,093
Points
2,000

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
4,093 2,000
Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.

Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.

Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?

Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao.
FB_IMG_1559355523733.jpg
FB_IMG_1559355527144.jpg
FB_IMG_1559355530501.jpg
 
Six-month

Member
Joined
May 11, 2019
Messages
83
Points
125

Six-month

Member
Joined May 11, 2019
83 125
Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.

Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.

Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?

Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao. View attachment 1113562 View attachment 1113563 View attachment 1113564
Bila tume huru mm nafamilia yangu marufuku kupiga kura hakuna haki inayoniletea usumbufu unadanganywa kura nihakiyako kumbe nihaki ya anaetangaza sisi tunapiga kura ila anaechagua niyule anaetangaza kupotezeana mudanimechoka
 
Masanva Aya

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Messages
425
Points
1,000

Masanva Aya

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2016
425 1,000
Mwa40 hapo ni tume huru ya uchaguzi, yaani iliyo huru hasa. Otherwise tutaendelea kuyasikia haya.
Wewe fikiria serikali i mapanga kukata rufaa, wakati inajua imevunja sheria kwenye suala la wakurugenzi.
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
8,239
Points
2,000

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
8,239 2,000
Mimi ni miongoni mwa watu waliokua na hofu ya kuukubali mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa lakini sheria ilipopitishwa na kulifanya Taifa la Tanzania kua la siasa za vyama vingi na kuona faida zake nikajikuta naukubali mfumo huo na kuhisi kama tulichelewa kama nchi kuanza kuutumia

Miaka mingi baadae nahisi hapkua na dhamira ya kweli ya kuanzisha mfumo huo na labda ilikua ni kiini macho tu kwa ajili ya kutimiza matakwa na malengo fulani ya kisiasa ya ndani ya kinchi na yakimataifa

Zinatumika pesa na rasilimali nyingi sana kwenye kiini macho hiki, kiasi natamani bora turudie kwenye mfumo wetu wa awali wa Chama kimoja kushika hatamu ili angalau tuliepushe Taifa letu na uteketezaji wa fedha nyingi sana za kodi ya wananchi wake
 
ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
2,112
Points
2,000

ruhi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
2,112 2,000

umeshachanga akili ukaona kipi ni faida au kwako faida ni kuokoa pesa na wala siyo kuboresha tulichonacho ili kiwe bora zaidi?
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
Hii inadhirisha ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya kidola iliyojivika koti la chama cha siasa. Kuna watu wanatuambia humu jukwaani kuwa eti ccm inakubalika, sasa hiyo ndio mbinu ya ccm kuendelea kuwa madarakani kwa kile kinachoitwa kukubalika.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
2,382
Points
2,000

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
2,382 2,000
Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.

Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.

Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?

Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao. View attachment 1113562 View attachment 1113563 View attachment 1113564
wapiga punyeto wa karne ya 21. unapopiga punyeto ukidhan upo na baby mzuriiii?!
ati unakubalika wakati unakimbia na mabox ya kura
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
8,239
Points
2,000

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
8,239 2,000
umeshachanga akili ukaona kipi ni faida au kwako faida ni kuokoa pesa na wala siyo kuboresha tulichonacho ili kiwe bora zaidi?
Ruhi, tulikosea tangia mwanzo kwenye dhamira ya kuanzisha mfumo wa sasa wa vyama vingi. Nimegundua kua kutokuwepo kwa uwanja sawa wa ushindani baina ya vyama vyote sio jambo la bahati mbaya bali ni kitu kilichosukwa tangia mwanzo kabisa wa uanzishwaji wa mfumo huu lengo ikiwa hata kama kitatokea chama makini mbali na CCM basi kiwe msindikizaji tu na kwa namna yoyote ile kisiwe tishio la kuiondoa CCM madarakani

Ukiangalia kwa makini CCM sio chama dola bali CCM ndio dola yenyewe. Sasa kinachotokea hapo wao ndio wanaamua mustakabali wa siasa za nchi, nani awe nani na apewe nini kwa kiasi gani. Kwa taarifa yako wapo watu weengi sana kwenye upinzani ambao ni watu wa kwenye "mfumo", tena wengine ukiambiwa utaweza hata kuapa kwa kitabu cha dini yako kua haiwezekani

Hoja yangu ni kwamba kuliko kupoteza rasilimali kwenye michezo ya kuigiza inayoitwa chaguzi bora turudi kulekule kwa mwanzo mpaka pale taifa litakapokua tayari kwa dhati kabisa kuingia kwenye siasa za ushindani wa vyama kwa ukamilifu wake na sio kama hivi ambapo vyama vingine vinawekwa kimagumashi ili ionekane eti kuna demokrasia
 
Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
25,126
Points
2,000

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
25,126 2,000
Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.

Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.

Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?

Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao. View attachment 1113562 View attachment 1113563 View attachment 1113564
Mkuu kwanini msingembeba msobe msobe mpaka ofisini kwake kama mbwai na iwe mbwai tu yote yana mwisho haya ila pa kuanzia tu ndo bado.
 
Forum statistics

Threads 1,389,665
Members 527,997
Posts 34,031,421
Top