Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Utawa wa hovyo sana huu!!
Basi namna sahihi ilikuwa kutofanyika uchaguzi kabisa. Sasa kama hata haya madogo yanatushinda na makubwa je,..................Naona hela za uchaguzi hawana, sasa wanataka watangazwe wa ccm kuwa wamepita bila kupingwa.
Wananchi wanastahili kuchukua maamuzi magumu dhidi ya watu kama hawa ili iwe fundisho kwa wengine.Alafu jamaa ni mwanamme mwenye familia...tena kuna sehemu kichwani hana nywele that means hana akili. Hajui ata hiyo pikipiki ya SM inahudumiwa na pesa ya watu gani
Ni mjinga pekeyake atakayepiga Kura mwaka huu siwezi kufanya kuwa mjinga nipige Kura hizi za kishamba..Bila tume huru mm nafamilia yangu marufuku kupiga kura hakuna haki inayoniletea usumbufu unadanganywa kura nihakiyako kumbe nihaki ya anaetangaza sisi tunapiga kura ila anaechagua niyule anaetangaza kupotezeana mudanimechoka
Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.
Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.
Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?
Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao.View attachment 1113562View attachment 1113563View attachment 1113564
Yaani huo ndio ujinga, ilibidi atafutwe apatikane apewe kipigo cha nguvu .Wajinga ni nyie, mtu mnamfahamu kabisa kwa nn msimshushie kipigo?
Hayo ni maamuzi ya kijinga, ni kama vile umeamua kuwaachia wenye meno waleNi mjinga pekeyake atakayepiga Kura mwaka huu siwezi kufanya kuwa mjinga nipige Kura hizi za kishamba..
Hata huo uchaguzi Mkuu mwakani bila time huru ya uchaguzi ni kazi bure Tu
Na Mimi napiga marufuku familia Yangu kupiga Kura mwaka huu na mwakani
Mmeshindwa kumpiga makofi? Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Mnatakiwa mtowe fundisho kwa Kata moja tu watashika adabu kupokea maelekezo kutoka juu! Sasa unakuja kujiliza hapa jf tukusaidieje?Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.
Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.
Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?
Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao.View attachment 1113562View attachment 1113563View attachment 1113564
Huyu ni mfanyakazi wa Serikali,analipwa mshahara kwa kodi zetu.Kwani hapo ni saa ngapi si saa za kazi na kfunga ofisi ya serikale,arudishe fedha zetu maana hakuwa kazini.Hilo pozi akipigwa picha la kishamba sana. Mtu kama huyo dawa yake ni kibano tu hakuna njia nyingine.
Hakujua kama anapigwa picha.Cha muhimu siku hiyo hakuwa kazini asilipwe mshahara kama "Hapa ni kazi tu" Lakini pia nakumbuka hata lile jimbo la Meru walilalamika viongozi wa vyama vingine kufanyiwa hivi hivi na hakuna chochote kilichofanyika kukomesha tabia hii.Ngoja sie watazamaji tuone na hii jeeee watendaji wamesingiziwa? Otherwise isijekuwa ni maagizo...............Hilo pozi akipigwa picha la kishamba sana. Mtu kama huyo dawa yake ni kibano tu hakuna njia nyingine.
Naona ya Korogwe (Nkoogwe) Vijijini yanajirudia tena. Kule kwa "masaa zaidi ya matano" vyama takribani vitano vya upinzani vilishindwa kumpata mpokea fomu, hawakujua yuko ofisi gani na wala bosi wake yu wapi. Mahali penyewe unajua pana majengo managapi? Lakini yule wa CCM ambae alikuwa machoni pa hao wapinzani kwa aina ya kuustajabisha aliweza kurudisha fomu na kupita bila "kupingwa". Huu ndio ustarabu wa Tume ya Uchaguzi inayo ongozwa na Jaji aliyetukuka kama yule Jaji mwingine ambaye ni Msajili wa Vyama.Acheni yoga,CCM CHAMA KUBWA HAIWEZI KUWAKIMBIA NINYI AMBAO HAMJAJIANDAA KUSHINDA
Nimeanza kupiga kura nchi hii tokea 2005 lakini Kwa tume hii ya uchaguzi Acha nipumzike kwanzaHayo ni maamuzi ya kijinga, ni kama vile umeamua kuwaachia wenye meno wale
Nilishasema Tena na tena, CCM ya Sasa Siyo Chama ila ni Genge la Wahuni, ndani kila aina ya Ushetani.Utawa wa hovyo sana huu!!