lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari zenu waungwana,
Kwawale ambao walioomba tempo tume ya taifa ya uchaguzi ya kuandaa daftari la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR majina yametoka na jumaatatu mnatakiwa kuripoti bohari kuu asubuhi.Majina yamebandikwa makao makuu opposite na wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
Kwa yeyote mwenye tetesi jinsi watakavyolipa tunaomba atujuze.
Asanteni