atapataje utajir hana maono. UKAWA tu ndo maono zeroHeri ya mtoto masikini mwenye maono kuliko mfalume mzee tajiri mpumbavu asiyekuwa na maono.
atapataje utajir hana maono. UKAWA tu ndo maono zeroHeri ya mtoto masikini mwenye maono kuliko mfalume mzee tajiri mpumbavu asiyekuwa na maono.
Uchunguzi wa Kamati ya Tume ya "Operation Tokomeza" Imebaini na kutoa taarifa baada ya uchunguzi kwamba Waziri, Balozi Kagasheki na Mawaziri wenzake hawakushiriki kabisa katika maafa yaliyotokea.
Na hivyo kujiuzuru kwao ilikuwa ni uwajibikaji wa Kisiasa. Ikulu imesema wanapaswa kusafishwa na kulipwa fidiai.
Ikumbukwe Balozi Khamis Kagasheki alijiuzuru wadhifa wa Waziri wa Maliasiri na utalii-tokana na kashfa hiyo ya 'Operation Tokomeza' huku Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Dr. Emmanuel Nchimbi na David Mathao walisimamishwa kazi.
Tujikumbushe kwa kupitia mada hii - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bi-na-nahodha-watimuliwa-na-rais-kikwete.html