Waziri Mayai Wa Maradhi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2026
- 309
- 82
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano(NCIC) imemwita rasmi Mheshimiwa Peter Kaluma, Mbunge wa Eneo Bunge la Homa Bay Town, kufika mbele yake siku ya Jumatano, tarehe 19 Agosti 2026, kufuatia kauli alizotoa Homa Bay siku ya Jumamosi, tarehe 15 Agosti 2026.
Je NCIC itamchukulia hatua au kesi itapotelea?
Je NCIC itamchukulia hatua au kesi itapotelea?