PostGE2025 Tume ya Chande wanasubiri Mahakama imuhukumu Lissu kuwa na Hatia, ili nao waje na hitimisho la MO29 ílisababishwa na Lissu. TUJIANDAE KWA MAANDAMANO

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu.

Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA.

NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe hukumu ya kumkuta Lissu na Hatia kisha imfunge.

Baada ya Hapo, TUME YA MPUUZI CHANDE, IJE NA REPOTI YAKE YA KUA MO29 ILASABABISHWA NA LISSU NÀ CHADEMA.

Baada ya Hapo, Mpumbavu Mutungi Aifutie Usajili Chadema.

SASA TUNATOA ONYO, TUNATOA ONYO KALI KABISA ,TUNATOA ONYO, UPUUZI WOWOTE ULE DHIDI YA LISSU, DHDIDI YA CHADEMA, HAUTAVUMILIWA KWA NAMNA YOYOTE ILE , NA WOTE WAKAOHUSIKA, KUANZIA MAHAKAMA, TUME YA KIPUMBAVU CHA CHANDE, NA MSAJILI WA VYAMA .

LABDA MKIJITAJIHIDI SANA MKIMBIE NCHI BILA HIVO, TUTAWADHIBU VIZAZI VYENU MIAKA HADI MIAKA.
 
Mkuu uwezo huo unao? Tarehe 29 Oct 2025 hata hukuonekana ukawadanganya vijana wa watu wakapigwa za kichwa na wengine wamekatwa miguu kwa sababu yako mkuu!!
 
Punguza mihemko
Huyo atanyongwa na hauna la kufanya
 
Kwani darasa la mo 29 lili zaa o ngapu?
 
Wanachofanya ni matokeo ya eliminate mbalimbali walisoma huko PAKISTAN
 
Mimi namshangaa mtu ambaye anamshauri msajiliccm kuwa kuifuta CHADEMA ndio ahueni kwa CCM au sasa ndio matatizo yataisha.

Matatizo ya nchi yamekuwepo miaka zaidi ya 60 kama hajawaweza kufix matatizo hayo wakosoaji watakuwepo tu hata wafanyeje , chama ni jukwaa tu la kukutanisha fikra pamoja na fikra ziko kwa watu , utafuta jukwaa ila fikra ziko palepale.

Utafuta CHADEMA ila huwezi kufuta fikra za Lissu, Heche , Mnyika na watu wanaoamini katika fikra ambazo zimewakutanisha katika jukwaa moja ambalo ni chama.

Matatizo yako palepale watu watabaki na fikra zile zile na watatafuta jukwaa jipya.

Pole sana kwa msajili kada wa CCM na vidampa wake wanaomshauri vitu visivyo na mantiki .
 
Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu.

Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA.

NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe hukumu ya kumkuta Lissu na Hatia kisha imfunge.

Baada ya Hapo, TUME YA MPUUZI CHANDE, IJE NA REPOTI YAKE YA KUA MO29 ILASABABISHWA NA LISSU NÀ CHADEMA.

Baada ya Hapo, Mpumbavu Mutungi Aifutie Usajili Chadema.

SASA TUNATOA ONYO, TUNATOA ONYO KALI KABISA ,TUNATOA ONYO, UPUUZI WOWOTE ULE DHIDI YA LISSU, DHDIDI YA CHADEMA, HAUTAVUMILIWA KWA NAMNA YOYOTE ILE , NA WOTE WAKAOHUSIKA, KUANZIA MAHAKAMA, TUME YA KIPUMBAVU CHA CHANDE, NA MSAJILI WA VYAMA .

LABDA MKIJITAJIHIDI SANA MKIMBIE NCHI BILA HIVO, TUTAWADHIBU VIZAZI VYENU MIAKA HADI MIAKA.
Mnatoa onyo we na nani? Wazazi wako?
 
Mkuu uwezo huo unao? Tarehe 29 Oct 2025 hata hukuonekana ukawadanganya vijana wa watu wakapigwa za kichwa na wengine wamekatwa miguu kwa sababu yako mkuu!!
Wamedanganywa? Kwamba walioandamana hawakuwa wanaona utekaji, ufisadi, na ukosefu wa ajira hadi wasubiri kudanganywa?

Kuweni na adabu na wananchi, msidhani wote ni wajinga na hawajui wanachokitaka.
 
Watawala haramu (wahuni) wanaweza kuharibu nchi hadi ikawa na wapigania uhuru (waasi) misituni na kutokea nchi za jirani.

Wahenga walisema:
Huwezi kuzuia Fikra ambayo wakati wake umefika
 
Back
Top Bottom