Kuna jambo huwa silielewi huwa na mkakati wa hawa watu wa sheria kupiga pesa au ni ukiritimba wa serikali?
Ukiwa unajiunga chuo unaenda na certified copy ya form 4 na result slip.
Ukiwa unaapply kazi serikalini unatakiwa kuattach certified copies lasivyo unatemwa.
Huwa kazi ya hizi copy ni nini? Je hao wanasheria wanatumia vigezo gani kuhakiki vyeti?
Maana wengi wanapelekewa tu copies wanagonga mihuri kwa buku 5-20.
Serikali inaweza kulink mifumo yake na necta kupata matokeo halisi kwanini mpaka watu waattach copies?
Huko sio kuwaongezea vijana wanaotaabika na ajira gharama zingine na usumbufu?