Hahahahaha,naona ushamtumbua sasaNa wewe sasa utakuwa jipu, umeambiwa sheria ya bajeti ya mwaka 2015, ingia google hapo isome.
Hahahahaha,naona ushamtumbua sasaNa wewe sasa utakuwa jipu, umeambiwa sheria ya bajeti ya mwaka 2015, ingia google hapo isome.
Juha anayeongoza chama kikuu cha upinzani Tanzania.mmh kuishi kwingi kuona mengi.
Mbowe angefanya la maana kama angehoji matumizi ya fedha hizo, vinginevyo atakuwa ameshazoea kuona fedha za umma zinaliwa ovyo na kutumika kwenye mambo yasio na msingi. Nasikia amechukizwa sana na fedha zilibanwa na bunge kwenda kunulia madawati, walitaka wabunge wakazitumie kwenye nyama choma na kusafiri na vidosho vyao.
Mbowe ndio bado anaendekeze ushabiki wa chama, hajitambui.Demokrasia ni kumsikiliza kila mtu mawazo yake na mwisho wa siku mnapata muafaka.Kila Mtanzania ana haki yakikatiba yakusikilizwa na kuheshimiwa kama mnataka hii nchi iende mbali acheni ushabiki wa vyama vya siasa,tuwe na mitazamo ya maslahi ya kitaifa
We mtu gani hakubaliani hata na hoja za kuwashughulikia wabadhilifu wa mali ya umma na mafisadi, anaitakia nini nchi hii?kwa majibu kama haya mnashusha sana hadhi ya hii forum kiukwel.
Mbowe angefanya la maana kama angehoji matumizi ya fedha hizo, vinginevyo atakuwa ameshazoea kuona fedha za umma zinaliwa ovyo na kutumika kwenye mambo yasio na msingi. Nasikia amechukizwa sana na fedha zilibanwa na bunge kwenda kunulia madawati, walitaka wabunge wakazitumie kwenye nyama choma na kusafiri na vidosho vyao.
Mbowe ni taasisi sio kama unavyodhani. Hakuongea kama Freeman Aikaeli Mbowe, bali kama KUB.Hivi wanapata wapi mda wa kumjibu mtu kama mbowe ambaye uelewa wake sawa mwanafunzi wa darasa la tano c, uelewa wa mbowe ni mdogo sana yeye mda wote anafanya siasa tu.
Daa..h ndugu..! ShkamooMbowe hana akili timamu.sijui kwa nin wananchi wa Hai wanakubali kuongozwa na mtu juha namna hii.
Ndiyo maana nimemshangaa ndugu yangu alieamua kumuita KUB juhaivi kwaninn umtukane mtu? unashindwaje kumjibu kwa hoja? hili ni jukwaa la watu waelewa jitaidi kua na busara kidogo.
hata wewe ni juha tuu,afadhali ya mboweMbowe hana akili timamu.sijui kwa nin wananchi wa Hai wanakubali kuongozwa na mtu juha namna hii.
Kwa nchi ilipo sasa tunahitaji sana Dikteta Mzalendo kuliko wakati mwingine wowote, sasa kama Magufuli akiendelea kuweka maslahi ya umma namna hii, yes tunamhitaji awe dikteta zaidi ili ainyooshe nchi hii.Hivi ninani aliyewadanganya ukishambulia upinzani kwa kuwakashifu na kuwatetea serikali kwa hoja mfu kama hizo italeta nafuu ya maisha. Udikteta unagonga hodi TZ kumbukeni udikteta unatengenezwa kwa kupitia jamii hata marehemu idd amin dadaa alikuwa na wafuasi wakimshabikia kwa nguvu zote
Au Mbowe aliandikiwa na Lisu
Yeye ni form 6 ndio ila historia ya siasa haitamsahau hata afe leo.Na pia kuna watu hawalali kuona ni jinsi gani wanammaliza Mbowe kisiasa.Sasa wewe na elimu yako ya kuunganisha vyeti imekusaidia nini?Huna legacy yoyote unayoweza hata kumuachia ndugu yako.Mbowe form six kilaza tu
Kwanza muda wote wanasusa hawezu kukumbuka kama kuna sheria ilipitishwa 2015
Bajeti ya wizara hiyo ni Billion 800, hivyo kwa serikali kuipa wizara Billion 600 ujue hapo ata 80% ya bajeti yao haijafika.Think!Hapa tuna zungumzia kuongeza bajeti ya wizara sio vifungu vya matumizi ...huyu ofisa anazungumza kuongeza na kupangua bajeti ya vifungu ndani hio 191 billion.
kilichofanyika ni kutoa hazina na kungeza bajeti kufikia 600 billion.
bado nidhamu ya matumizi inahitajika....nidhamu ya matumizi hata nyumbani kwa mtu ni muhimu kufatwa
Pale ndipo nilipojua wapinzani wetu wameishiwa hoja, atleast kwa sasa maslahi mapana ya nchi yanawakilishwa na Rais Magufuli, hawa wengine bado wanaongozwa na siasa za maslahi binafsi.We mtu gani hakubaliani hata na hoja za kuwashughulikia wabadhilifu wa mali ya umma na mafisadi, anaitakia nini nchi hii?
Hivi wanapata wapi mda wa kumjibu mtu kama mbowe ambaye uelewa wake sawa mwanafunzi wa darasa la tano c, uelewa wa mbowe ni mdogo sana yeye mda wote anafanya siasa tu.