Tume Mipango yamfunda Mbowe

Tume Mipango yamfunda Mbowe

Sijaona citation ya vifungu hapo while mbowe aliainisha vifungu vilivyokiukwa.
Pombe amejaliwa vilaza wengi sana kwenye serikali yake.

Mbowe amekalilishwa kasa na Lissu, bahati mbaya Lissu katika namba hanaga mchango kabisa kamtia shimoni boss wake watu wanamuona anavyombwela mbwela tu.
 
Bajeti ya wizara hiyo ni Billion 800, hivyo kwa serikali kuipa wizara Billion 600 ujue hapo ata 80% ya bajeti yao haijafika.Think!
Bajet ya ndani ni 160b
Hizo ingine ni za nje...
Hivyo hatukupata za nje au zimepatikana lkn zikatumika kulipa madeni ya makandarasi..maana ake hakuna kazi mpya ..imemegwa bajeti ya maendeleo
 
Bajet ya ndani ni 160b
Hizo ingine ni za nje...
Hivyo hatukupata za nje au zimepatikana lkn zikatumika kulipa madeni ya makandarasi..maana ake hakuna kazi mpya ..imemegwa bajeti ya maendeleo
Miongoni mwa matatizo makubwa ya bajeti zilizopita ilikuwa ni uwepo wa bajeti hewa, yaan bajeti ya wizara ni Billion 800 lakini hadi mwaka unaishia inakuwa imepelekwa Billion 100 tu.

Sasa tulipaswa kumpongeza Rais Magufuli kuwa amejitahidi walauana kuipeleka hiyo Billion 600 kati ya Billion 800.Wangefanya la maana sana kama wangehoji matumizi ya hizo Billion 600 na sio kupelekwa kwake.

Wengine wanasema kwanin kapeleka wizara yake ya zamani?kwani ni wizara ya familia yake?nani hajui kuwa wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ndio mzizi wa nchi?usipoipa wizara hii pesa pamoja na Afya na Elimu utaipa wizara gani?huku ndio kuishiwa hoja.
 
Hata kama Sheria ingekuwa hairuhusu, kwa kuwa uhamisho huo umefanywa kwa maslahi ya Taifa hakuna tatizo!!

Kwa hiyo Mbowe alitakiwa Wakandarasi waendelee kufa kwa magonjwa ya moyo wakati wao walikopa bank ili watekeleze miradi ya Taifa, na Serikali ya JK. haikuwa inawalipa ni hadi alipoingia Magufuli ndipo akaanza kuwalipa haraka ili madeni hayo yasiendelee kuzalisha riba!!!

Hivi hawa UKAWA jamani ni vipi? kwani Tundu lissu hakuwepo Bungeni awasaidie?
Kwani serekali ya awamu ya nne ulikuwa ya chama gani?.Na wale Wabunge waliyokuwa wakisapoti bajeri ya ujeni na Waziri wa ujenzi wa awamu ya nne wakasema inatosha na ibaki kama ilivyo alimaanisha nini?.Huo ndiyo unafiki wa Wabunge wa CCM wa ndiyooooooo hata kwenye jambo lisilo la maslahi kwa nchi.
 
Miongoni mwa matatizo makubwa ya bajeti zilizoita ilikuwa ni uwepo wa bajeti hewa, yaan bajeti ya wizara ni Billion 800 lakini hadi mwaka unaishia inakuwa imepelekwa Billion 100, sasa serikali ya Magufuli imejitahidi sana kwenye wizara hii, badala ya kulialia imejitahidi kati ya Billion 800 za kwenye bajeti imepeleka Billion 600, than shangaa how come hilo ni tatizo?wangefanya la maana sana kama wangehoji matumizi ya hizo Billion 600 na sio kuepelekwa kwake.

Wengine wanasema kwanin kapeleka wizara yake ya zamani?nani hajui kuwa wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ndio mzizi wa nchi?usipoipa wizara hii pesa pamoja na Afya na Elimu utaipa wizara gani?huku ndio kuishiwa hoja.

Mzee...kuna taratibu za kufata...ndo maana kuna manunguniko...sasa kama zimechotwa kutoka elimu?
Bila ya taratibu na uwazi watu watauliza tu...kwanini ujenzi? Walimu wana madeni pia? Kwanini isiwe afya? Why makandarasi ?
Jee kuna uhusiano gani hata wao wapendelewe?
Jee wanalipwa fadhila ?
Haya yangenyooka kama bunge lingetumiwa kubadilisha matumizi kwa hoja. Sio kiholela bwana.sasa kazi ya bunge ni nini? Tusijaribu kupindisha ...hapa kuna kupindisha taratibu ... tukubali kama tumekosea. Kukosa sio udhaifu...
 
Fedha zilizoendesha Bunge la katiba hazikuputishwa kwny Bajeti ya Mwaka na kina Mbowe walishiriki na fedha za posho wanatafuta laki tatu kwa siku wala hawakuzikataa japokuwa walijua zilihamishwa kutoka wizara/Idara zingine.
Hizo fedha zinazohamishwa kupelekwa Ujenzi na kujenga barabara, kufuta sherehe kujenga barabara Mbowe anaona kanuni zimevunjwa lakini zingepelekwa Bungeni kwny Nyongeza ya Posho na safari za nje Mbowe angekenua kama alivokenua kwny Posho za Bunge la katiba!
 
Kodi inapokusanywa haioneshi ni pesa ya nini ndugu?ni suala la serikali kupanga kwa niaba yako.Katika Tillion 1 labda iliyokusanywa mwezi uliopita ukitoa kama Billion 500 za mshahara unachagua hizo zingine ziende wapi kutokana na mahitaji yaliyopo.Hivyo hakuna hiyo hoja ya pesa zimetolewa wizara fulani kwenda wizara nyingine.

Walau ingekuwa ni hoja ya maana kama ungesema hapa kuwa wizara ya Elimu ilipewa bajeti ya Billion ngapi na mpaka sasa wamepewa ngapi.Labda nikwambie hoja mojawapo ya UKAWA uchaguzi uliopita ilikuwa Billion 900 tuliyolipa kama riba tu kwa kuchelewesha malipo ya wakandarasi, sasa ulitaka serikali isiwalipe ili tulipe hiyo riba?
 
Nani kakwambia isilipwe...kuna taratibu zake kutumia na kupanga pesa za wananchi...
Leo pesa za sherehe zimepelekwa magu mwanza...kwanini isiwe ..pangani ? Kwa nini isiwe kuwapa znz wajenge miundo mbinu kupunguza mafuruko na kipindu pindu?
Taratibu tumejipangia bwana..mini budget zimekua zikipelekwa mara kadhaa kupanga dharura...
 
Makandarasi eeeehhhh..sasa kwa nini tunatumia zaidi ya bajeti ? ...Juzi tulitakiwa kuhakiki malipo BOT ..Jee hawa wakandarasi wamo ?
Tunazungumzia fedha za serikali za kujenga miundombinu kama barabara nk. Wahisani waliahidi kuzifadhili lkn wakaingia mitini. Tenda zilitangazwa na kazi imefanyika. Hamtaki walipwe mpaka urasimu wa kibali cha bunge? Mbowe na watu wake waache mzaha. Rais JPMagufuli fanya kazi na lipa madeni kila fedha zinapokusanywa halafu bunge liarifiwe. Hatutaki serikali inadaiwa mara waalimu, mara madaktari, mara makandarasi, mara Wanafunzi wa vyuo nk. Tunaridhika na uwajibikaji wako.
 
Amejibu kwa kutumia masaburi,badala ya kujibu kwa kutaja vifungu vya sheria,vinavyomrusu yeye kuamisha hizo pesa vifungu kwa vifungu
 
Nani kakwambia isilipwe...kuna taratibu zake kutumia na kupanga pesa za wananchi...
Leo pesa za sherehe zimepelekwa magu mwanza...kwanini isiwe ..pangani ? Kwa nini isiwe kuwapa znz wajenge miundo mbinu kupunguza mafuruko na kipindu pindu?
Taratibu tumejipangia bwana..mini budget zimekua zikipelekwa mara kadhaa kupanga dharura...
Umuhimu wa kiuchumi ulizingatiwa kwa ujenzi wa barabara Mwanza airport. Rais hajaingilia budget iliyoidhinishwa na bunge. Ametafuta pesa mahali akajenga barabara.Kuhusu Zanzibar juzi amesema wazungu wanaleta pesa na wanapata mgawo wao kama kawaida.
 
Nani kakwambia isilipwe...kuna taratibu zake kutumia na kupanga pesa za wananchi...
Leo pesa za sherehe zimepelekwa magu mwanza...kwanini isiwe ..pangani ? Kwa nini isiwe kuwapa znz wajenge miundo mbinu kupunguza mafuruko na kipindu pindu?
Taratibu tumejipangia bwana..mini budget zimekua zikipelekwa mara kadhaa kupanga dharura...

Ungekuwa wewe Rais ungepanga ziende sehemu utakayotaka wewe ila kwa sasa Rais ni Magufuli na ana vipaumbele vyake ambavyo bahati nzuri vipo ndani ya jamii ya walipa kodi wa nchi hii, hivi umeisoma hiyo sheria ya bajeti?usiboshe usilolijua.
 
We mtu gani hakubaliani hata na hoja za kuwashughulikia wabadhilifu wa mali ya umma na mafisadi, anaitakia nini nchi hii?
Ni lini kasema hakubaliani na kuwashughulikia wafujaji wa mali za umma? Nadhani yeye pamoja na wengine tunaamini kuwa kanuni na sharia zinazoongoza maswala ya ajira za hao wafujaji zifuatwe ili ushughulikiaji huo uwe na tija ya kudumu. Huta kubali kuwa wengi wanaoadhibiwa kwa staili ya sasa wanarudi kazini kwani baada ya uchunguzi wanaonekana hawana hatia. Unajua gharama yake? ndio maana kuogopa aibu wengi wanarudishwa kimyakimya. Hujui kuwa compensation wanayolipwa ni sehemu ya kodi yako wewe.
 
haa haaa hivi mlitege
mea wakubali rais amevunja sheria? hawajitaki? haa haa hao ndo wataalamu wetu. magu kavunja katiba mara kibao sio sheria tu.
 
Fedha zilizoendesha Bunge la katiba hazikuputishwa kwny Bajeti ya Mwaka na kina Mbowe walishiriki na fedha za posho wanatafuta laki tatu kwa siku wala hawakuzikataa japokuwa walijua zilihamishwa kutoka wizara/Idara zingine.
Hizo fedha zinazohamishwa kupelekwa Ujenzi na kujenga barabara, kufuta sherehe kujenga barabara Mbowe anaona kanuni zimevunjwa lakini zingepelekwa Bungeni kwny Nyongeza ya Posho na safari za nje Mbowe angekenua kama alivokenua kwny Posho za Bunge la katiba!
Hilo nalo neno, mabiliomi yalitumika kwenye bunge lile lkn hakuna aliyehoji
Waache unafiki
 
Back
Top Bottom