@tumboo

@tumboo

naona wanalipenda jina la mdogo wangu...miss you my mom...

Mimi pia nimewamisi wewe na mkwe.....tena umwambie huyo shem wako kuwa ntaghairi kumpa binti yangu....ohoooo
 
Mimi pia nimewamisi wewe na mkwe.....tena umwambie huyo shem wako kuwa ntaghairi kumpa binti yangu....ohoooo

nitamwamwambia mom, uzuri anakujua mkwewe huwa unaamka na akili mpya atapokonywa tonge mdomoni.
 
Staili mpya ya kutongoza Jf???
 
Back
Top Bottom