Tumbo wa CHADEMA ataka kurithi 'viatu' vya Rostam

Kama ni hivi chadema haishindi igunga,...
i suggest wange msimamisha yule diwani wao wa igunga mjini agombee ubunge (katiba inaruhusu)
na sio kutoa mtu kisesa kwenda kugombea huko,huko kwao kisesa apilewa akajaza tumbo lake igunga ndo ataweza?

Damn,kumbe watu waroho hivi eh
 
chadema bado ni chama dhaifu hata mgombea igunga imekuwa tabu kumpata, mwanzoni walimshawishi mgombea wa cuf akawatolea nje, cdm wanaamini ktk rushwa.

ID yako ilipaswa iwe wowowo yaani makalio
 
chadema bado ni chama dhaifu hata mgombea igunga imekuwa tabu kumpata, mwanzoni walimshawishi mgombea wa cuf akawatolea nje, cdm wanaamini ktk rushwa.

kweli weye ni woyowoyo hapa ndio najua umuhimu waule uzi unaosema posts na username zinafanana
 
Hapa mkuu umenena lakini vile vile haya ni maneno ya kwenye magazeti na vyombo vya habari bado tamko rasmi la CHADEMA hatujalisikia, tuwe na subira naamini jimbo la Igunga linaenda Upinzani.

Kama ni hivi chadema haishindi igunga,...
i suggest wange msimamisha yule diwani wao wa igunga mjini agombee ubunge (katiba inaruhusu)
na sio kutoa mtu kisesa kwenda kugombea huko,huko kwao kisesa apilewa akajaza tumbo lake igunga ndo ataweza?

Damn,kumbe watu waroho hivi eh
 
Igunga kimsingi ni ya wana Igunga. Wao ndio wanaofahamu mwana Igunga mwenye kuijua vizuri Igunga, na mwenye Uchungu nayo. Si amini katika kugombea kwa lengo la kupata Ubunge.

Naamini Mbunge kuwa mwakilishi wa watu wake. Mimi nimerwawakilisha wananchi wa Karatu kwa miaka kumi na tano. Sasa nina jukumu la kujenga chama, ambacho nacho kikiwa imara kitawanufaisha wana Igunga. Ni mgawanyo wa majukumu. Ndicho tunachoamini ndani ya Chadema, nani anaweza kufanya vizuri nini na wapi na kwa wakati gani.

Ninawashauri na kuwashawishi sana Wana Igunga wenye sifa popote walipo wajitokeze ili tuweze kuijenga Igunga.== Dr.W.Slaa

DR. SLAA AKIJIBU SWALI LA
SAINT IVUGA KAMA ATAGOMBEA IGUNGA UA LAA!
 
Igunga kweli tuweke mtu makini ,anayekubalika na kuuzika.Pia achunguzwe kwa umakini tusije mpata mtu nusu magamba nusu cdm,Nawatakia upembuzi mwema!

Amakweli kusoma kwingi nikuona mengi. Sasa kutoa maoni ya chama chenu kwenu Forum hii na bila kutambulisha wewe ni wachama gani ni kioja. Ila kwa kuwa anayejadiliwa ni Tumbo wa CDM nashawishika kuamni kama wewe ni mfuasi wa CDM na unapigia chapou mgombea wa chama chako.

Kwa taarifa yako hili si jukwaa la CDM, huu ni uwanja huru. Kama kuna mtu amekuongopea kama JF ni ya CDM imekula kwako.

Kikwebo.
 
who is erasto tumbo ? CV ikoje? alikuwa mbunge lini? na inaonekana alikuwa mbunge wa bukene sasa inakuwaje aje kugombea igunga?
Hapa chadema inabidi kuwa makini sana msije tu na siyo kuchukua mtu miongoni mwa viongozi wa kitaifa na kumsimamisha. inabidi mumtumie kwa karibu sana yule diwani wenu wa Igunga mjjini anaweza kuwa msaada mkubwa ktk kupata mtu anayekubalika. chadema inabidi kuwa makini sana
Igunga naamini kuwa chama hakijajimaarisha sana maeneno hayo kwahiyo nguvu, umaarufu na utendaji wa mtu unaweza kuwa msaada mkubwa
katika kupata ushindi yaani kama ikiwezekana mgombea wa chadema awe na sifa mara mbili za yule wa ccm ili kutuwezesha kuumuza kwa watu kirahisi.

jamaa yupo njema sana na anakubalika msiwe na wasiwasi wana chadema.
 
Kama ni hivi chadema haishindi igunga,...
i suggest wange msimamisha yule diwani wao wa igunga mjini agombee ubunge (katiba inaruhusu)
na sio kutoa mtu kisesa kwenda kugombea huko,huko kwao kisesa apilewa akajaza tumbo lake igunga ndo ataweza?

Damn,kumbe watu waroho hivi eh

kaka siasa si kama hesabu za kujumlisha na kutoa, siasa inaangalia mambo mengi sana. sasa badala ya kuongea upupu huu ungejaribu kutetea hoja yako " kwa nini diwani wa igunga mjini ndiye apitishewe kugomea ubunge? " hii hoja ni dhaifu, jipange ulete tena.
 
Cdm inabidi iwe makini katika hili kwa hali ilivyo inaonyesha cdm haina watu mahir wazaliwa wa lgunga
 
mimi napendekeza ccm imsimamishe husein bashe au ritz 1,hapo tutashinda kwa sababu hela za kampeni kutoka ikulu zitatoka kwa wingi.
hata kuagiza kanga na t sirt kutoka south zitapigwa faster.
 
chadema bado ni chama dhaifu hata mgombea igunga imekuwa tabu kumpata, mwanzoni walimshawishi mgombea wa cuf akawatolea nje, cdm wanaamini ktk rushwa.

mkuu unaanza kupiga kampeni hata kabla mgombea hajapatikana?
 
Tuambieni wengine waliochukua fomu na vyama vyao, ili demokrasia isonge mbele.
 
chadema bado ni chama dhaifu hata mgombea igunga imekuwa tabu kumpata, mwanzoni walimshawishi mgombea wa cuf akawatolea nje, cdm wanaamini ktk rushwa.
<br />
<br />
Umewasiliana na takukurupuka, masaburi hoyeeeeee!
 
Bado ni mapema mno kuhitimisha hoja kwani hata uchambuzi wa majina na sifa za waliochukua fomu haujafanyika, wachukue wengi zaidi ilikupata mwenye sifa stahili hapo mwisho. Tumbo pamoja na wengine ruksa kujitosa kwenye kinyanganyiro na hata huyo diwani wa Igunga nae aingie.
kaka siasa si kama hesabu za kujumlisha na kutoa, siasa inaangalia mambo mengi sana. sasa badala ya kuongea upupu huu ungejaribu kutetea hoja yako " kwa nini diwani wa igunga mjini ndiye apitishewe kugomea ubunge? " hii hoja ni dhaifu, jipange ulete tena.
 
who is erasto tumbo ? CV ikoje? alikuwa mbunge lini? na inaonekana alikuwa mbunge wa bukene sasa inakuwaje aje kugombea igunga?
Hapa chadema inabidi kuwa makini sana msije tu na siyo kuchukua mtu miongoni mwa viongozi wa kitaifa na kumsimamisha. inabidi mumtumie kwa karibu sana yule diwani wenu wa Igunga mjjini anaweza kuwa msaada mkubwa ktk kupata mtu anayekubalika. chadema inabidi kuwa makini sana
Igunga naamini kuwa chama hakijajimaarisha sana maeneno hayo kwahiyo nguvu, umaarufu na utendaji wa mtu unaweza kuwa msaada mkubwa
katika kupata ushindi yaani kama ikiwezekana mgombea wa chadema awe na sifa mara mbili za yule wa ccm ili kutuwezesha kuumuza kwa watu kirahisi.

Acha kuchemka na uongo wewe, mchango wako hauna nia nzuri hata kidogo; huwezi kuwa CDM halafu husimjue Erasto hata kama ulizaliwa jana.
 
maoni yangu ni kuwa waangalie m2 wa igunga hukohuko sio suala la kutafuta m2 wa mbali muanze kupata taabu ya kumuuza.

Hayo maoni mbona huku yatowa wakati Rostum anagombea na kuwa mbunge wa Igunga?
 
Mi napendekeza kwa dhati kabisa kuwa wamtumie diwani wao wa pale Igunga mjini anaweza akawa msaada mzuri ktk kumtafuta mgombea anayeweza kuuzika vizuri!

Hizo siyo procedure za CDM, ndio maana wanachukuwa form, kwani wanatafuta kuowa Igunga hivyo huyo Diwani awe mshenga?

Mgombe wa chama kwa maslahi mapana ya chama na wananchni anapatikana kwa taratibu ambazo chama imejiwekea ndani ya katiba.
 
chadema bado ni chama dhaifu hata mgombea igunga imekuwa tabu kumpata, mwanzoni walimshawishi mgombea wa cuf akawatolea nje, cdm wanaamini ktk rushwa.

magamba mnaamini katika ufisadi hapo nani zaidi???????????????????
 
Hapa Cdm iangalie kati ya huyo jamaa wa cuf na mtu wetu nani anakubalika zaidi, tukiingia katika uchaguzi kwa kusema potelea mbali mwisho wa siku cdm na cuf ndiyo wanangawana kura na magamba kushinda kirahisi, Busara tu zitumike.
 
Back
Top Bottom