NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
Kwa ushauri wangu tu ninaomba chadema wainamie upande wa mtu ambae anaishi na watu wa igunga sio mtu anaishi dar au sehemu nyingine. Itachukua muda kumtangaza watu wa igunga wanawajua vijana wachapa kazi acheni kupiga story. Tujijengee msingi huo na watu watachukua jukumu la kuelewa mtu wa kuwaletea maendeleo na mchapa kazi.