Tumbo linaunguruma hadi kero

Tumbo linaunguruma hadi kero

Habari za leo wakuu,

tumbo langu linaunguruma mpaka

linanitia wasiwasi

Yeyote mwenye kujua tiba ya hili

tatizo anijulishe tafadhali

Nashindwa kukaa sehemu

zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo

Leo nipo na maboss hapa yaani sina amani[emoji1]

Msaada wa haraka unahitajika.

Natanguliza shukrani[emoji120]

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Mimi pia kipindi nipo o-level nilikua na hili tatizo ila kwa sasa sina ila nilipunguza matumizi ya sukari, ila nakunywa maji mengi na matumizi ya chai asubuhi.
 
Back
Top Bottom