Tumashine tule tumdoli zinawasaidiaje

Tumashine tule tumdoli zinawasaidiaje

Kuna ma nini vile? Kuangalia TBC....!? hata siwezi, nilishaapa kutoangalia TBC. Huwezi amini tangu asubuhi sijawasha tv kwa kuhofia kukutana na upuuzi unaoendelea dodoma.

Mi nimejikaza naangaliaaaa
 
Havikupi stress,waweza kwenda kokote wakati wowota havikuulizi,huhitaji kuvipikia na havivai nguo kwamba utahitaji kufua minguo plus miboksa ya mtu,last but not least ni kwamba ukishakimiliki una uhakika ni chako.....hakuna presha ya kuibiwa labda mtu avunje mlango maana chenyewe hakiwezi kujiibisha

Inamaana unakuwa huna hamu ya ngozi kwa ngozi ? Kwani inatokea binadamu ukatamani chungwa ,nanasi ndizi ,unaona eei,kila kimoja na ladha yake na na ladha ya kimoja haikufanyi usitamani kingine ,most of them will not taste the same !

Hayo ya kufua ni mapenzi yenu tu ,hayahusiani na mambo ya vibration ,so let c ,hivi hakuna tofauti baada ya kutuwekea faida ?
 
Satisfaction ni jambo la saikolojia tu...kama nimeridhika na hamu zangu zimeisha nitamani nini tena?
 
Back
Top Bottom