Tumashine tule tumdoli zinawasaidiaje

Tumashine tule tumdoli zinawasaidiaje

Kivipi mbona mnajifunga ? Hivi kuna tofauti inakuwaje mpaka mnatupiga vibuti na kuhamia huko .yaaani embu tufafanulieni mpaka sasa mnajikanyaga tu ,mbona mko hivyo ?

Havikupi stress,waweza kwenda kokote wakati wowota havikuulizi,huhitaji kuvipikia na havivai nguo kwamba utahitaji kufua minguo plus miboksa ya mtu,last but not least ni kwamba ukishakimiliki una uhakika ni chako.....hakuna presha ya kuibiwa labda mtu avunje mlango maana chenyewe hakiwezi kujiibisha
 
Afanaaleki!!!!!
 
Hakyanani...
Unamiliki??
 
Mama weeeeeeeeeee.
 
Havichepuki, havilalamiki, haviambukizi magonjwa maana chako ni chko, vinamfanya mmiliki kutotegemea msaada maana hakiombwi hela, as long wanaume wa sasa hawataki kuombwa msaada. Unakuwa on your own budget.
 
Back
Top Bottom