Tumalize ubishi leo, White house na Kremlin ni Ikulu gani ya kijanja?

Urusi nakshi kibao, hata concentration inakuwa zero

Kwani umeambiwa hiyo ni sehemu/chumba cha kufanyia mikutano, bila shaka sehemu ya mikutano kunako itajika concentration zaidi hipo ndani kwa ndani - sisi hapa tunazungumzia unapo ingia ukumbini/sebuleni - ukweli Kremlin zaidi unaweza kufikiri huko kwenye majengo ya Vatican yenye nakshi na michoro za akina Leonardo da Vinci, Michelangelo na Raphael!!
 
Naona mali zilizoibiwa Africa zinaonyeshwa na waafrika tunasifia tuuu. Kwamba sehemu hii nzuri zaidi ya hii
Sidhani kama zimeibwa ulaya bali ungesema wamechukua kwa wajerumani na sehemu za ulaya walikopigana vita hata kama asili ya hizo dhahabu ni africa basi sio zote maana hata ulaya kuna migodi ya dhahabu tena urusi wamebarikiwa kuwa na resource nyingi.

Urusi hana koloni africa labwa useme nchi za ulaya alizozikali kwa nguvu na hatimaye kuunda umoja kabisa (USSR).
 
Picha huwez kufanisha...maana za white house umeonyesha office na Kremlin umeonyesha eneo za wazi.
 
Nimependa white house! ni cool place unaweza ukakaa na kutuliza akili ukatengeneza concentration hiyo nyingine zaidi ya kuonyesha ufahari/ufalme sio mahara sahihi kwa utulivu wa fikra!
Ikulu ni mahali patakatifu by J.k Nyerere ukitaka tulizo la akili nenda beach
 
1gbbb.jpg


baba J ndani ya Ikilu
 
Binafsi nina allergy na marangi rangi ya ajabu.

Ya marekani ina rangi ziko cool & smart .
 
Back
Top Bottom