Tumalize ubishi leo, White house na Kremlin ni Ikulu gani ya kijanja?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,856
2,000
Kimaamuzi au ki nakshi, kama kinakshi Russia wapo vizuri sababu katika watu wanaoongoza kwa kazi za mikono china wapo vizuri sasa China na Russia ni kama mtu na nduguye, ila tukija kimaamuzi magumu ya kisiasa nadhani jibu mnalo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom