Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,608
- 5,269
Lipo nchi gani??
Lipo Moshi...
Lipo nchi gani??
Limezinduliwa juzi juzi hilo jengo, limejengwa na NSSF... sasa jamaa akajua hata sijui lilipo
Limezinduliwa juzi juzi hilo jengo, limejengwa na NSSF... sasa jamaa akajua hata sijui lilipo
wakati amesema jengo zuri hakuwa ametaja mahali lilipo nikajua anajua lilipo ila wengine hawajui lilipo. au ilitakiwa aliyeweka picha ndio aulizwe na kujibu mwenyewe! Nini maana ya kukurupuka?right ningekuwa nimekosea lilipo ndio ningekuwa nimekurupuka. bado nasimama kusahihishwaKakurupuka
mbona jaziba sana au hukutaka tuchangie kwenye picha uliyoiweka ndugu?
wakati amesema jengo zuri hakuwa ametaja mahali lilipo nikajua anajua lilipo ilabwengine hawajui lilipo. au ilitakiwa aliyeweka picha ndio aulizwa na kujibu mwenyewe! Nini maana ya kukurupuka?right ningekuwa nimekosea lilipo ndio ningekuwa nimekurupuka.Kakurupuka
wakati amesema jengo zuri hakuwa ametaja mahali lilipo nikajua anajua lilipo ila wengine hawajui lilipo. au ilitakiwa aliyeweka picha ndio aulizwe na kujibu mwenyewe! Nini maana ya kukurupuka?right ningekuwa nimekosea lilipo ndio ningekuwa nimekurupuka. bado nasimama kusahihishwa
Sio jazba, nilichokifanya niliikuza ile picha aliye i post mara ya kwanza aliitaja hiyo sehemu, nilipoikuza nikaweka maneno jengo zuri... sasa wewe ukaja kunikosoa... lakini ukiangalia niliye m quote jibu unalipata moja kwa moja...
ha ha ha umenifanya nicheke sana sasa nini kifanyike ili kuijenga upya Tabora yenu?Dahhh, Tabora ni kama mji uliokimbiwa na Boko Haram baada ya kupigwa na Chad. Too sad mji wangu wa Tabora.
Tanga ni kweli imezidiwa na Arusha kwa idadi ya watu lakini Mbeya haijazidiwa na Arusha. Kabla ya kuwa jiji kuna kata ilibidi Arusha manispaa waziombe kutoka Arusha vijijini na Meru ili kuongeza idadi ya watu na eneo. Kuhusu idadi ya watu tafuta Ripoti yote ya Ofisi ya takwimu ya mwaka 2012, kwenye utangulizi wameandika kuwa kuna baadhi ya maeneo waligawa ili kurahisisha uhesabuji wa watu na sio kwa kufuata maeneo ya kiutawala. Wametaja maeneo hayo na Jiji la Mbeya ni moja wapo, kuna baadhi ya kata za jiji hazikuwekwa kama sehemu ya jiji ili kurahisisha uchukuaji takwimu. Kwa hiyo ukichukua idadi ya watu wa zile kata utagundua kuwa idadi ya watu wa Mbeya jiji imezidi ile ya Arusha jiji.
ha ha ha umenifanya nicheke sana sasa nini kifanyike ili kuijenga upya Tabora yenu?
mkuu way back wakati naishi mwanza nilikua nashangaa kila mgeni akija mwz anataka umepeleke Villa mpk Leo sijaelewa hua wanawaza niniMwanza city now is great anayesema viwanja vya kijivinjari vichache aje now aone kama ataweza kuzimaliza kwa siku moja tatizo watu wamekariri akifika mwanza anataka apelekwe kwenye the hottest place wakati sehemu za kujivinjari zipo nyingi
Bado unakurupuka
Sio jazba, nilichokifanya niliikuza ile picha aliye i post mara ya kwanza aliitaja hiyo sehemu, nilipoikuza nikaweka maneno jengo zuri... sasa wewe ukaja kunikosoa... lakini ukiangalia niliye m quote jibu unalipata moja kwa moja...
Wilaya ya Arusha mjini ni ndogo kijiografia lakini sasa tunazungumzia Jiji la Arusha ambalo limeunganishwa na manispaa ya Arumeru .....wilaya ya Arumeru ni kubwa kuliko wilaya ya Arusha mjini hapo kabla ya Arumeru kugawanywa........Arumeru ambayo imeungana kabisa na jiji la Arusha sasa ni manispaa unaweza kujua future ya Arusha.......Kikwete akitoka madarakani Arusha itarudi mahali pake.......