MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,855
- 6,212
Tangu lini endoscopic surgery zimeshindikana kufanyika kwa sababu ya kukosa CT. Kwanza kabisa ifahamike kuwa many endoscopic operations are done for diagnostic purposes either for biopsy or exploration.
Labda jaribu kutaja endoscopic operation hata moja ambayo haiwezi kufanyika bila CT.
Jamani tusidanganyane CT scaner ni muhimu sana but wasiwas wangu kwa nchi kama Tanzania kuna wataalamu wa kufanyia kazi majibu ya CT scanner maana siku hizi hata surgery nying za kichwan zinafanywa kwa machine as kuondoa Tumors and other ni kwa machine wanaita transnosal aproach as kupunguza risk kichwan,
Nimebahatika kufika katika health centre kubwa tofaut abroad as south africa,india and UK as b mkubwa ameshaumwa sana so tulipigana huku na huku ili apone, na kote huko machine za kisasa zimewekwa katika block tofaut ambazo ziko equiped kweli kweli mfano alifanyiwa check up moja ya tumbo kwa kumezeshwa kifaa kama kinyoka kidogo kina waya yaan kinashuka tumbon huku kinapiga picha tumbo zima ndan kwa ndan huku screen zilizozunguka zikimwaga data hadi nikaogopa, hiyo niliona apollo india,
So inawezekana JK kapigia hesabu ya full check up test ndo maana kaogopa bei aliyoambiwa, hizo CT scan za usd 80 uwezo wake ni mdogo tukatae tukubali maana mara ya kwanza b mkubwa alipigwa CT scan regency kabla hatujaanza kumsafirisha but kote alipoenda akipigwa CT scan picha zinaonesha vizur na ubora kuliko tuliopigwa regency, hadi DR kule wakashangaa hiki kipimo mbona kimefifia yaani hadi tukaona aibu,
Check up machine needs budget tena a strong budget kama mnabisha tembeeni dunian mjionee hali ilivyo kwenye vipimo, wanachotuzidi india sio madaktari bali ni vipimo vya kisasa na machine za kufanyia surgery za kisasa ndo maana watu wanapona