Car4Sale Land Cruiser VX-R iliyonunuliwa 0 KM iko sokoni

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
614
Reaction score
552
NB ORIGINALLY ACQUIRED BRAND-NEW FROM TOYOTA TANZANIA

Bei/Price TSH 125M
Call+255 747 999 927

TOYOTA LAND CRUISER VX-R

Year: 2010 - 2018
(Facelift Upgrade)
Engine: 1VD-DIESEL
Mileage: 38,000+KM

Transmission: AUTOMATIC
Sunroof
Fog Lights
Rear Spoiler

Clean Interior
Well-Maintaned
Swap Deals Allowed

💺Seating Capacity: 7 SEATS

IMG-20251107-WA0070.jpg
IMG-20251107-WA0059.jpg
IMG-20251107-WA0060.jpg
IMG-20251107-WA0071.jpg
IMG-20251107-WA0053.jpg
 
Una akili ndogo sana, 0km halafu 38,000km.
Imefanya kila mtu atilie shaka kila kitu ulichoandika.
Mmevurugwa na maauaji ya KMKM?

Sio Kosa Lako Ila Kwa Ushauri Wangu Punguza Ujuaji Hautakusaidia In a Long Run.

Watu Werevu Huwa Wanauliza Na Kubishana Kwa Hoja Na Sio Kwa Kutoa Mapovu Kama Hayo.
 
Haina historia haramu?
Haya ndio magari ya serikali yanayoibiwa kijanja serikali inapoagiza kutoka Toyota Japan. Yako mengi yameibiwa kwa ujanja ujanja na senior civil servants wakati huu wa serikali ya Samia!!!
 
We ndo hujamuelewa. Ilinunuliwa Toyota dealer ikiwa 0Km. Alienunua,kaitembelea Km 38,000. Kwa maana, si used from Japan au kwingine, mmiliki ni mmoja baada ya kuinunua.
Asante Sana Kaka Shida Ya Uyo Jamaa Ni Ujuaji Na Asipofanyia Kazi Huenda Ikamgharimu Sana
 
Haya ndio magari ya serikali yanayoibiwa kijanja serikali inapoagiza kutoka Toyota Japan. Yako mengi yameibiwa kwa ujanja ujanja na senior civil servants wakati huu wa serikali ya Samia!!!
Iyo Imenunuliwa Toyota Tanzania Ikiwa Zero Kilometa Na Ina Rekodi Nzuri Na Safi Hata Ukienda Pale Wanaweza Kukupatia
 
Hizi sasa ndiyo gari. Siyo unamiliki vits, IST, corolla, Carina TI, na vi baby walker vingine; eti na wewe unajiona unamiliki gari! Yaani unavimba kabisa mbele za watu huku ukichezea ufunguo! Bora hata mimi mwaka wa 40 huu namiliki Phoenix. Hata sina ugomvi na mtu.
 
***** :aRolf: :aRolf: :aRolf: :aRolf: :aRolf: :aRolf: :aRolf:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom