Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

unajua kwamba kuna kiongozi wizarani aliwahi kumjibu head wa radiology kwamba kifaa hicho wanaohitaji sio watanzania wote ko hakina umuhimu. Usitetee wanasiasa kwa sababu unahisi na we ni mwanasiasa. They are just useless. Wakiona kitu kisichohusisha wao kupata hela hawawezi kulijadili.

Idara zote wizara ya afya zinaongozwa na wataalam wa afya mostly madaktari, na hao ndio wataalam ninaosema hawajazipa CT kipaumbele. Kwa hiyo hapa unakubaliana na mimi kuwa tatizo ni wataalam. Pale wizarani wanasiasa ni waziri na naibu wake tu, wengine wote ni wataalam.
 
[h=3]CT Scanner Price Guide[/h]Posted by Josh Block on Fri, May 25, 2012

Email Article



inShare35​



ct-scanner-prices.jpg
Whenever I ask Dave McAndrews, our Senior Vice President of Imaging Solutions, a question he needs to do a little research on, he just tells me the answer is “eleventy”. Well, we want to answer your questions here about CT scanner prices a bit more clearly (like $50,000-$2,250,000) so we're going to break it down Toy Story style; the good ol', trusty Woody doll of CT scanners (2-16 slice scanners) versus the Buzz Lightyear with all the bells, wings and whistles (64+ slice CT).
Only Evil Emperor Zurg would have you click on a link to learn the basics – so let’s get to the point like a Mr. Potato Head so you can save some money to feed Mr. Hamm.
Here's a basic overview of CT scanner prices, costs, expenses, and how much other CT scanner options are going to cost you.


[h=3]The Bread and Butter [/h]The "bread and butter" option applies to those looking to perform almost every kind of scan aside from cardiac. The best bet in balancing your clinical and economic needs with capital acquisition and service agreement costs will be with a 2, 4, 8 or 16 slice CT.
A four or “Quad” slice CT scanner will cost between $85,000-$115,000 installed with a “first scan” warranty. Additional services include applications training, site drawings and annual service agreements (ranging between $60,000-$85,000) and so on.
A sixteen slice scanner will cost between $145,000-$225,000 installed with a “first scan” warranty.
Your manufacture preference is a key component. While popularity can be disputed to all hours of the night - GE, Siemens, Philips and Toshiba are without a doubt the major players in the CT scanner market today.


[h=3]To Infinity and Beyond [/h]Whether you’re looking for marketability or to meet a Physician’s or clinical demands, this is when good ol' Woody just won’t cut it. If you're looking to do cardiac studies then you'll want the Buzz Lightyear of CT scanners.
A 64 slice CT ranges between $250,000-$450,000 installed with a “first scan” warranty. While site planning and applications training costs may remain the same, the service agreements will cost more (ranging between $100,000-$135,000). After all, the CT Tube alone can cost as much as $220,000 to replace.
And as the slice counts keep going up (128, 256 and even 320 with the Toshiba Aquilion One) the costs and clinical capabilities go up too.
If you have more CT scanner questions, let us know. We’re here to serve you in navigating all the little green aliens of CT scanner project planning.
 
JK jana katuhakikishia CT scanner mpya huwezi kupata chini ya USD 700,000, Na akasema tena ambaye ataipata bei chini ya hapo aende pale ikulu watampa hela akailete. Sasa kama wewe umepata chini ya hapo si uende ikulu ukachukue hiyo $80000 ukatuletee hiyo machine mpya.
Kuna watu hapa wanaongelea bei za machine chakavu, sheria ya manunuzi (Public Procurement Act) iliyopitishwa na bunge letu inazuia kabisa kununua vifaa chakavu, na kwa sasa sheria hiyo imetiliwa mkazo ukilazimisha kununua vifaa chakavu sio tu unafukuzwa kazi bali pia unafungwa gerezani.
My take; Tunavyochangia hapa tuongelee new machine tu, mambo ya mitumba hayana nafasi serikalini ukitaka kanunue kwa ajili ya zahanati yako binafsi mtaani.

nijuavyo mimi ni kuwa CT scanner inaweza kupatikana kwa bei ya $80000
je brand new land cruiser ni sh ngapi?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Hakuna kitu kinachoniudhi kwa JK kama dharau aliyonayo juu ya watanzania na binadamu wengine kwa ujumla. Kuna wakati alizungumza eti "Labda iwe ni CT Scanner ya Kichina", halafu kikafuata kicheko cha dharau...
Huyu mtu hafai kuwa kiongozi hata kidogo!

Mkuu ukiandika sana unaishia kupigwa ban tu...leo wachina kikwete ana wazarau wakati kuna vitu chungu mzima tuna jivunia lakini vimetegenezwa na wachina, barabara zetu, uwanja wa taifa, reli n.k...anataka kutuambia kila kitu kutoka china au kinacho tengenezwa na wachina hakifai kwa matumizi ya mtanzania? Kikwete alitakiwa kuwa afisa utamaduni kata.
 
Jana Mh. JK si aliliongea suala hili kupitia wahariri kwa kuwataka wasemao bei ya CT scan ni sawa na V8 basi na waende akawape pesa wakailete; haya jamani suala limetupwa kwetu hili tuchangamke tusije ishia kwenye Media, Mikutanoni na Mjengoni!!
 
rafiki yangu novatus makunga alilazimishwa kuoa ili awe mkuu wa wilaya

ndugu yangu haipendezi kuleta habari za kutunga,mimi sikuoa bali nilibariki ndoa na process ya tukio hilo nilianza zaidi ya mwaka kutokana na utaratibu wa wakatoliki lakini kikubwa zaidi hakuna mtu yeyote aliyekuwa anafahamu kuwa sijaoa kwani tatizo lilikuwa tofauti ya dini,kwa maisha nimeishi katika familia kwa raha na amani na watoto hivi sasa baadhi ni wakubwa kwa mama mmoja,lakini nashukuru wazazi wa wife baada ya kuridhia ndiyo nikarudi kundini so rafiki yangu sikulazimishwa kuoa kwa ajili ya udc na pia kuoa si kigezo chunguza wapo ambao bado hawajaoa.
 
Hivi dola mil 2 ni nini kwa nchi? hizo si ni bili 3 au?!! sasa hilo ni suala kusema eti aghali wakati kuna mtu kama Chenge ana sh bil anaita senti?!!! nchi ina ujinga hii wa ajabu kabisa...
 
rafiki yangu novatus makunga alilazimishwa kuoa ili awe mkuu wa wilaya

Dah kumbe Nova we si rafiki yako aisee, maana hujui ukisemacho had imempasa kuiweka sawa, hebu tuwe wa kweli na wenye uhakika kwa tuyaandikayo tusije onekana humu JF ni ya watengeneza story kama ilivyo FB na badala yake lizidi kuwa jamvi la ma Great Thinkers kwa kutoa mwongozo sahihi na kufundisha"
 
Hakuna ugumu wowote kwa Tanzania kuwa na CT scanner kila wilaya. Uwezo upo, ni swala la wataalamu kuweka hilo kwenye vipaumbele tu. CT scanners hazinunuliwi kwa sababu wataalam hawajaziweka katika vipaumbele. Mwanasiasa hawezi kunyanyuka na kusema anataka kununua kifaa ambacho hajui kama ni kipaumbele katika sekta husika.
However what is really funny ni jinsi watu walivyo obsessed na CT scanners. CT scanner inampa mtaalam taarifa kuhusu hali ya mgonjwa, swala la kujiuliza kabla ya kutafuta CT scanners ni je, ile taarifa itakayokupa CT scanner utaweza kuifanyia kazi? Unavyo vifaa vya kufanyia kazi taarifa unayopewa na CT scanner? Huko ndio ilibidi tuanzie...

Tatizo vipaumbele mkuu..viongozi wetu hawana uzalendo kabisa
 
nijuavyo mimi ni kuwa CT scanner inaweza kupatikana kwa bei ya $80000
je brand new land cruiser ni sh ngapi?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Tuache siasa za kudanganyana. Hebu someni hii
How much does a CT Scanner cost?
It is a little like asking how much a car costs. A Ford Pinto isn’t going to cost you much...
you may be able to just pull it for free off my neighbor’s front lawn… but that Maserati is going to be a touch more expensive. So in order to make sure you get the CT Scanner you need for the right price you should be ready to answer the following questions:
[h=3]What types of studies will you be performing?[/h] This will help us narrow down on how many Slices per Rotation your scanner will take. For example, if you are performing a lot of Cardiac Studies you should probably buy a 64 Slice CT due to the constant motion of the heart. Whereas Angio and Perfusion studies can often be done effectively with a 4 Slice scanner. Answering this question will also determine if you need a unique software option (Cardiac, Fluoro, Perfusion, etc).
[h=3]Do you prefer a certain manufacturer?[/h] GE, Siemens, Toshiba and Philips are the 4 big names in CT. If you can only take one of them, you’ve just eliminated 75% of your options. That may be worth doing if your tech is trained on it or if the Radiologist swears GE is the only CT worth using... but in general, try to keep your options open. GE is usually about 30% more expensive than its counterparts and Air Cooled Scanners tend to be more expensive than Water Cooled.
[h=3]What is your schedule like?[/h] You should have an idea of when you’ll need installation and when a decision will be made. For a 16 Slice and below it’s a good idea to leave 60-90 days between a decision being made and installation.
For anything above a 16 Slice (32-64 slice) you may want to leave 90-120 days. Sometimes you may be able to have the perfect system installed the next day, but you definitely don’t want to bank on that.
[h=3]What is your budget?[/h] You’re thinking “WAIT! I can’t tell you my budget, you’ll try to sell me a Pinto for the Maserati price!” Here are some guidelines for installed pricing on refurbished CT scanners:

  • 4 Slice: $75,000 - $100,000*
  • 16 Slice: $160,000 - $225,000*
  • 64 Slice: $325,000 - $425,000*
*These are "Installed" price ranges. Applications training, site drawings and annual service agreements ("warranties" ranging from $50,000-$130,000) are additional components often built into a full "turn-key" purchase price.
Like anything, it comes down to supply and demand. The more you limit your options, whether by software options, manufacturer, or schedule... the less supply you will have available.
Sometimes it’s a necessity, but the more flexibility the better.
 
mkuu hatutaki the best wakati hatuna zile ambazo ni za msingi.just find a good one!hata ya kichina ipatikane kwa kuanzia.niambie kama simu au computer unayotumia ni the best au la.

Unasema hatutaki the best hivi kweli tununue ambayo siyo nzuri sana. tatizo most likely litakalojitokeza ni increased mean time to repair, cost za spare associated with constant break down jee can we afford this?
 
Tuache kufanya mambo kishabiki bila kuwaza na kuwazua..Je tunafaham kazi ya CT scanner? je tunajua tofauti iliyopo kati ya CT scanner na X ray za kawaida? kwanini watu wang'ang'anie manunuzi ya CT Scanner wakati hat X ray inafaa kwa kazi hii(ingawa sio kwa level ya juu kwani X ray ni one dimension ukilinganisha na CT scanner ambayo ni 3D).
kwani zamani madaktari walikuwawanatumia nini mpaka leo CT scann iwe hoja? waTanzania tuache udhaifu
 
Kuna watu wengine wanatakiwa kupigwa kipara kabla hawajanyongelewa mbali!!

Hii mitanzania ya namna hii inatakiwa ipotezwe ndio tutaendelea!!
 
Tuache kufanya mambo kishabiki bila kuwaza na kuwazua..Je tunafaham kazi ya CT scanner? je tunajua tofauti iliyopo kati ya CT scanner na X ray za kawaida? kwanini watu wang'ang'anie manunuzi ya CT Scanner wakati hat X ray inafaa kwa kazi hii(ingawa sio kwa level ya juu kwani X ray ni one dimension ukilinganisha na CT scanner ambayo ni 3D).
kwani zamani madaktari walikuwawanatumia nini mpaka leo CT scann iwe hoja? waTanzania tuache udhaifu

Good point hass hol.....
Kwani zamani mawaziri walikuwa wanatumia usafiri gani na walikuwa wanawafikia wananchi? Kama landrover 109 inaweza, why VX V8?

Think!
 
ct inaumuhimu sana! ila najiuliza hawa madr wa kipindi cha nyuma wao ct yao ilikuwa ni kitu gani, na mbona walikuwa wanato huduma vizuri na ya uhakika tu!mgonjwa ukitoa maelezo yako alikuwa anauwezo wa kukuelekeza kwenye kipimo husika bila hat haya mambo ya ct! hii ct itabaki kuwa muhimu hasa kwa sasa mana ninamashaka ma uwezo wa madokta wa sasa hasa hawa masharo! wasije kutuumiza bure! sirikali inapaswa kufanya hii kitu muhimu na ct inabei kuliko hayo magari lakini isiwe sababu ya wao kuto zinunua wakati uwezo wanao!

acha mawazo mgando ndugu, naona bado kidogo utasema hata bank zamani hakukuwa na compyuta wala ATM! ha ha ha ha halafu nahisi utafuatia kusema hapo zamani hatukuwa na mobile phone! Duh ndugu hii ni karne ya 21
 
acha mawazo mgando ndugu, naona bado kidogo utasema hata bank zamani hakukuwa na compyuta wala ATM! ha ha ha ha halafu nahisi utafuatia kusema hapo zamani hatukuwa na mobile phone! Duh ndugu hii ni karne ya 21

dr umejikakamua na kaelimu kako ka kuklemisha!
 
Back
Top Bottom