Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

Hakuna ugumu wowote kwa Tanzania kuwa na CT scanner kila wilaya. Uwezo upo, ni swala la wataalamu kuweka hilo kwenye vipaumbele tu. CT scanners hazinunuliwi kwa sababu wataalam hawajaziweka katika vipaumbele. Mwanasiasa hawezi kunyanyuka na kusema anataka kununua kifaa ambacho hajui kama ni kipaumbele katika sekta husika.
However what is really funny ni jinsi watu walivyo obsessed na CT scanners. CT scanner inampa mtaalam taarifa kuhusu hali ya mgonjwa, swala la kujiuliza kabla utapata taarifa ambazo zitakusaidia kuangalia kama huo ugonjwa unaweza kufanya kazi mwenyewe au ufanye referal. Hakuna rum ya explaratory laparotomy siku hizi. Hizo walikuwa wanafanya enzi hizo. Siku hizi watu wanafanye endoscopic surgery ambazo bila ct huwezi.
 
Kiongozi siyo muamuzi wa vipaumbele vya kitaalam. mapungufu ya wataalam wa sekta husika hayo. tatizo tumeshazoea kutupia lawama wanasiasa.

unajua kwamba kuna kiongozi wizarani aliwahi kumjibu head wa radiology kwamba kifaa hicho wanaohitaji sio watanzania wote ko hakina umuhimu. Usitetee wanasiasa kwa sababu unahisi na we ni mwanasiasa. They are just useless. Wakiona kitu kisichohusisha wao kupata hela hawawezi kulijadili.
 
tunashindwa kununua ct scan lakini tuna uwezo wa kupeleka viongozi wetu india!
 
Hakuna kitu kinachoniudhi kwa JK kama dharau aliyonayo juu ya watanzania na binadamu wengine kwa ujumla. Kuna wakati alizungumza eti "Labda iwe ni CT Scanner ya Kichina", halafu kikafuata kicheko cha dharau...
Huyu mtu hafai kuwa kiongozi hata kidogo!

halafu pia nilisikia kicheko cha kinafiki kutoka audience nikashangaa, pamoja na kusikiliza kwa muda mfupi sana hatuba hiyo naona haikuwa na jipya. kwa mfano alirudia tena lile swali lake la 'kwa nini serikali imtese dk. uli' kwanza anakosea kutoa kauli hiyo kwa sababu uchunguzi unaendelea, pili; jibu ni rahisi, motive ya serikali ingeweza kuwa kuwatishia watu. mpaka leo serikali haijaweza kuhoji suspect hata mmoja, tunategemea kuambiwa ni nani alimtesa dk uli, sio kuulizwa eti kwa nini serikali imtese daktari. jamani siku hizi watu hawataliwi wanaongozwa. it is difficult to fool people ooooh!!!
 
ningekuona mwenye akili iwapo ungeuliza hawa wanasiasa wetu walitembelea usafiri gani hapo zamani kabla ya kuanza kutumia Mashangingi,je walikuwa hawafiki majimboni mwao?je wagonjwa wetu wanatumia mashangingi kufika hospitali?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

amesahau kwamba siku hizi watu hawatumia four figure tena! Siku hivi vyuoni explorative laparotomy haifundishwi. Watu wanafundishwa kufanya investigations zote for best results.
 
Hivi sherehe za miaka 50 zilitumia sh ngapi vile? na watanzania walifaidika na nini vile?? ngumu kumesa.

Analysis kama hizi ndio chanzo cha watu kufanya tathmini ya kwa kiasi gani tunaweza kufanya hivi vitu badala ya kuishia kulalamika ni gharama kubwa
 
tunashindwa kununua ct scan lakini tuna uwezo wa kupeleka viongozi wetu india!

Budget imetengwa billion kumi kwa ajili ya kuwatibu viongozi wastaafu nje ya nchi ambao hawazidi 10 na ambao wanakula balanced diet na vyakula vyao vimeangaliwa kwa umakini na wakemia pamoja na wana usalama which means uwezekano wa kuugua ni mdogo tofauti na walala hoi ambao wanapambana na kachumbari za mama ntilie mbazo uhakika kama ni safi ni mdogo na kula mchicha ambao umelimwa kwenye mkondo wa maji taka
 
Budget imetengwa billion kumi kwa ajili ya kuwatibu viongozi wastaafu nje ya nchi ambao hawazidi 10 na ambao wanakula balanced diet na vyakula vyao vimeangaliwa kwa umakini na wakemia pamoja na wana usalama which means uwezekano wa kuugua ni mdogo tofauti na walala hoi ambao wanapambana na kachumbari za mama ntilie mbazo uhakika kama ni safi ni mdogo na kula mchicha ambao umelimwa kwenye mkondo wa maji taka
waandishi wanacheka ha ha ha,halafu wanauliza swali la pili
 
nijuavyo mimi ni kuwa CT scanner inaweza kupatikana kwa bei ya $80000
je brand new land cruiser ni sh ngapi?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Inategemea na aina ya Landcruiser (Hard Top ambazo zipo old model za cylinder 4 na 6 pia zipo modela mpya wanaita macho ya panzi) kuna Prado n.k. All in all inawezekana ila tatizo la viongozi wetu wanaamini kwenye kushindwa na ndio maana wakaja na idea ya POWER TILA badala ya kuweka mpango wa muda mrefu wa kuwa na matrekta. Mie ninaamini kwenye kuweka plan nikiwa na maana kwamba ukiwa na PLAN utaweza kuwa na makisio ya gharama ili baadae uangalie rasilimali ulizonazo zinaweza kama zinatosha na kama hazitoshi maana yake itachukua muda gani kuweza kununua kwa kila mkoa (HAPA NDIO IDEA YA KUNUNUA KWA AWAMU INAPOKUJA IKIWEZEKANA TUNAWEKA LENGO KWA MIAKA MITANO HOSPITALI ZOTE ZIWE NA CT SCANNER)
 
waandishi wanacheka ha ha ha,halafu wanauliza swali la pili

Wengine wanacheka kujipendekeza ili ikitokea post yoyote wateuliwe, si unajua jamaa hata ukiwa huna uzoefu wa utumishi wa serikali unaweza chaguliwa kuwa DC wakati waliomtangulia system ndio ilikuwa kwa kiasi kikubwa ndio inateua watu ambao wanadhani wanaweza kuongoza alafu mkuu anayapitisha kama akiona wapo sawa
 
pesa inauma kuitumia kwa kitu ambacho wakubwa hawaoni faida. kwao kutibiwa ni nje na kodi ya walala hoi watanzania ndyo inayolipia.CT scanner ni ya muhimu na serikali inabidi istop kununua VX ili iweze kununua hiyo scanner.
 
Wengine wanacheka kujipendekeza ili ikitokea post yoyote wateuliwe, si unajua jamaa hata ukiwa huna uzoefu wa utumishi wa serikali unaweza chaguliwa kuwa DC wakati waliomtangulia system ndio ilikuwa kwa kiasi kikubwa ndio inateua watu ambao wanadhani wanaweza kuongoza alafu mkuu anayapitisha kama akiona wapo sawa

rafiki yangu novatus makunga alilazimishwa kuoa ili awe mkuu wa wilaya
 
rafiki yangu novatus makunga alilazimishwa kuoa ili awe mkuu wa wilaya

Kazi kwelikweli ndio maana Taifa limekosa uzalendo kwani kila mkuu wa wilaya ana wasaidizi wake ambao ni MAKATIBU TARAFA ambao wanamsaidia kazi za kiutawala katika maeneo yao, sasa hawa watu ndio walitakiwa kuteuliwa kama promotion maana system inavyofanya kazi wanaijua mwisho wa siku wanapewa marafiki na wakiingia wilayani wanafanya kazi kwa interest ya aliewateua
 
hawa madokta wa nyuma walikuwa wanatoboa kichwa kwa mtu aliyepata ajali mpaka wakute ni wapi palipoathirika, unaweza ata toborewa mara 8, sasa wenzetu kwa kujuwa thamani ya binaadam wakaka chini na kugundua hiyo kitu kuraisisha toboa toboa, sasa sisi hatuna means wale wanaopata ajali ya kichwa si kutobolewa huko, madaktari wamo humu hiyo toboa toboa wana jina lao kitaalam, ati kama ct moja gharama yake ni vx 100, serikali inapaswa inunue hiyo, kiongozi wa nchi apaswi afanye mzaa mzaa kwenye maswala ya uhai wa raia wake.

ct inaumuhimu sana! ila najiuliza hawa madr wa kipindi cha nyuma wao ct yao ilikuwa ni kitu gani, na mbona walikuwa wanato huduma vizuri na ya uhakika tu!mgonjwa ukitoa maelezo yako alikuwa anauwezo wa kukuelekeza kwenye kipimo husika bila hat haya mambo ya ct! hii ct itabaki kuwa muhimu hasa kwa sasa mana ninamashaka ma uwezo wa madokta wa sasa hasa hawa masharo! wasije kutuumiza bure! sirikali inapaswa kufanya hii kitu muhimu na ct inabei kuliko hayo magari lakini isiwe sababu ya wao kuto zinunua wakati uwezo wanao!
 
Hakuna ugumu wowote kwa Tanzania kuwa na CT scanner kila wilaya. Uwezo upo, ni swala la wataalamu kuweka hilo kwenye vipaumbele tu. CT scanners hazinunuliwi kwa sababu wataalam hawajaziweka katika vipaumbele. Mwanasiasa hawezi kunyanyuka na kusema anataka kununua kifaa ambacho hajui kama ni kipaumbele katika sekta husika.
However what is really funny ni jinsi watu walivyo obsessed na CT scanners. CT scanner inampa mtaalam taarifa kuhusu hali ya mgonjwa, swala la kujiuliza kabla ya kutafuta CT scanners ni je, ile taarifa itakayokupa CT scanner utaweza kuifanyia kazi? Unavyo vifaa vya kufanyia kazi taarifa unayopewa na CT scanner? Huko ndio ilibidi tuanzie...

Nadhani kuhusu wataalam kusema, watakuwa wamesema japo sina wa kumnukuu. Na pengine ndio maana hata hao wanasiasa wanalizungumzia kila siku especially juu ya u-ghali wa hizo CT scanners, including JK leo na wanahabari aliokuwa nao. Kuhusu mambo mengine ya msingi yanayotakiwa kushughulikiwa instead of being obsessed with CT Sc, nakuunga mkono. Kwa hatua tuliyopo in terms of health service delivery system, there are a lot to be desired even before we get to the level of highly sophisticated, expensive equipment. Serikali inatakiwa iangalia yote hayo ikishirikiana na wataalam wake wakati tunaelekea kwenye ma-CT Scanners. nakumbuka madaktari walikuwa wanalalamika kuwa hata kifaa cha 'buku' kinakosekana inabidi daktari au nesi atoe buku yake ili mgonjwa aliyeko kitandani (au sakafuni) apate huduma.
 
hata gloves za kuzalishia kina mama zinahitaji 'uwezo'
 
nimezifuma hizi na bei zake
ct-scanner-brilliance-6-slice.ith167977_92_63.jpg
quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Siemens
Model: SOMATOM Sensation 16

Location: Japan, Chiba

Negotiable​
2003




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Picker
Model: PQ 2000S

Location: United States, Florida

Negotiable​
2000




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Siemens
Model: SOMATOM Volume Zoom

Location: Japan, Chiba

28,000​
2004




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Toshiba
Model: Aquilion 64

Location: Belgium, Liege

Negotiable​
2005




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: GE Healthcare
Model: LightSpeed Plus QX/i 4 Slice

Location: United States, New York

25,000​
2000




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Siemens
Model: SOMATOM 24

Location: United States, Texas

20,000
safetrade_icon.png

​
1997




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Siemens
Model: SOMATOM Sensation 16

Location: Turkey, Istanbul

123,155​
2004




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Philips
Model: Brilliance 6-slice

Location: United States, South Dakota

135,000
safetrade_icon.png

​
2006




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: GE Healthcare
Model: ProSpeed SX Power

Location: Bulgaria, Sofyia

105,959​
1998




quicklook.png
Quick Look


Device: Mobile CT
Manufacturer: Philips
Model: Mobile Brilliance 16-slice

Location: United States, California

163,500​
2004




quicklook.png
Quick Look


Device: CT Scanner
Manufacturer: Siemens
Model: SOMATOM Sensation 16 Cardiac

Location: Belgium, Brussels

150,000
safetrade_icon.png

​
2005



​
 
CT scanner inampa mtaalam taarifa kuhusu hali ya mgonjwa, swala la kujiuliza kabla utapata taarifa ambazo zitakusaidia kuangalia kama huo ugonjwa unaweza kufanya kazi mwenyewe au ufanye referal. Hakuna rum ya explaratory laparotomy siku hizi. Hizo walikuwa wanafanya enzi hizo. Siku hizi watu wanafanye endoscopic surgery ambazo bila ct huwezi.

Tangu lini endoscopic surgery zimeshindikana kufanyika kwa sababu ya kukosa CT. Kwanza kabisa ifahamike kuwa many endoscopic operations are done for diagnostic purposes either for biopsy or exploration.
Labda jaribu kutaja endoscopic operation hata moja ambayo haiwezi kufanyika bila CT.
 
Back
Top Bottom