😂😂😂😂Dahh mpaka nimechoka, ngoja nipumzike kwanza, hii wiki ina heka heka balaa
View attachment 3346701
Hizo mbili za mwanzo hizo...June itakuwa ya moto sana.. Lakini hebu tuangalie za kufungia mwezi huu.. Zinazobamba sana
1. CHADEMA: No reforms no election
2. Gwajima: Utekaji vs wajibu hoja (wana ccm)
3: Gen-Z vs .....
4.chaumma.
5. Ongezea..
Kati ya hizi kuna zitakazopewa shavu zitrend na kuna zitakazominywa zisisikike!
Akili kichwani mwako..muda ni wako, simu ni yako, bundle ni lako.. Utachagua... Ma a na kupanga ni kuchagua...
Jiangalie usije ukachanganyikiwa pamoja nao... Maana bado wakihangaika na Gen-Z kaibuka Gwajima.. Sasa hawajui wamalize na yupi na waendelee na nani... Huko mtukano mkuu ndio huooo🤣View attachment 3346696
Ila hizo ndizi zinaita... sema tu umekosea kuzifunga kwenye gazeti. Mwalimu wa afya aliniambia si afya kula mandazi yaliyofungwa kwenye gazeti!June itakuwa ya moto sana.. Lakini hebu tuangalie za kufungia mwezi huu.. Zinazobamba sana
1. CHADEMA: No reforms no election
2. Gwajima: Utekaji vs wajibu hoja (wana ccm)
3: Gen-Z vs .....
4.chaumma.
5. Ongezea..
Kati ya hizi kuna zitakazopewa shavu zitrend na kuna zitakazominywa zisisikike!
Akili kichwani mwako..muda ni wako, simu ni yako, bundle ni lako.. Utachagua... Ma a na kupanga ni kuchagua...
Jiangalie usije ukachanganyikiwa pamoja nao... Maana bado wakihangaika na Gen-Z kaibuka Gwajima.. Sasa hawajui wamalize na yupi na waendelee na nani... Huko mtukano mkuu ndio huooo🤣View attachment 3346696
Natamani nimlipe mtu, awe ana-supply hizi mzuzu za kuchoma, pamoja na parachichi la Rombo kila siku.June itakuwa ya moto sana.. Lakini hebu tuangalie za kufungia mwezi huu.. Zinazobamba sana
1. CHADEMA: No reforms no election
2. Gwajima: Utekaji vs wajibu hoja (wana ccm)
3: Gen-Z vs .....
4.chaumma.
5. Ongezea..
Kati ya hizi kuna zitakazopewa shavu zitrend na kuna zitakazominywa zisisikike!
Akili kichwani mwako..muda ni wako, simu ni yako, bundle ni lako.. Utachagua... Ma a na kupanga ni kuchagua...
Jiangalie usije ukachanganyikiwa pamoja nao... Maana bado wakihangaika na Gen-Z kaibuka Gwajima.. Sasa hawajui wamalize na yupi na waendelee na nani... Huko mtukano mkuu ndio huooo🤣View attachment 3346696
Hivi kulikuwa na kitu kinachoitwa CHAUMA? Mbona inasahaulika mapema hivyo?Kiki ya chaumma imebuma. No reform no election.💪
😂😂 na bado watapoteana wote soonHivi kulikuwa na kitu kinachoitwa CHAUMA? Mbona inasahaulika mapema hivyo?
😂😂 na bado watapoteana wote soon