Ndugu ni 30,000 tsh. Ila tupo pamoja ingawa inaonekana kama move ni ya darasa flan 2, wanaiba wazi wazi ilitakiwa ianze mwanzo wa semister ila imeanza ktk, kingine wabunge wa madarasa walipitisha bila kuhoji wahusika inaonekana ina influence kutoka juu au katikat ya uongozi.