oxlade
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 601
- 94
mliochaguliwa makumira, ni vizuri mkautumia huu uzi kuuliza maswali mbalimbwli kuhusu chuo na vingi mnavyotaka kuvijua. wadau wa makumira watawapa majibu na msaada hapa.
vitu muhumu ni kuwa
1. ni vizuri ukatafuta bima ya afya ili usave hela, maana kama huna utatakiwa kulipa laki moja ukifka chuo
2. mnaweza kujichanga wawili mkatafuta chumba nje mapema maana accomodation inasumbua, so ka mnaweza kutafuta vyumba kwa muda huu ni vzuri zaid, gharama ni kuanzia sh 40,000 nw kuendelea kutegemea na hali, mazingira na chumba kilivyo.
3.wadada pale haparuhusiwi suluari so mjipange na nguo ndefu.
kwa sasa ni hayo tu, mengine wengine wataongezea na kama kuna maswali usisite kuuliza
cc: Meljons
1000 words
ajili ibrahim
jov

Last edited by a moderator: