Tumaini university hakuna kitu, ni ubabaishaji tu.

Tumaini University-Iringa& Teofilo Kisanji (Mbeya), ni balaa mimi binafsi nilishwahi kufanya kazi hapo ku-install ATM za benki mojawapo(jina kapuni) iringa Tumaini na kule Teofilo Kisanji nikaenda kumtembelea ndugu yangu, mazingira yale ni bora hata shule ya kata, maana Kihehe (Tumaini Iringa) na kinyakyusa Teofilo Kisanji (Mbeya) ndio lugha ya mawasiliano. Appointments nyingi ni za kabila moja Tumaini(Wahehe, Wabena), TEKU (Wanyakyusa) kuanzia VC, Deans, Head of Depts.)TCU fuatilieni hili
 
Back
Top Bottom