masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,369
- 19,215
Hee! Kwaiyo ushaanguka nikuokote? Au ndo una yumbayumba nikae tayari kwaajili ya kukudaka?
hahaha nimesimama kama saa 11
Hee! Kwaiyo ushaanguka nikuokote? Au ndo una yumbayumba nikae tayari kwaajili ya kukudaka?
hahaha nimesimama kama saa 11
A strongest man is the one who stand alone, rafiki wa nini? jipange!
wewe fanya mipango yako na ukiwa kwenye right way hao marafiki watakuja automatic na utachagua unaemtaka. ukimfanya rafiki ndio kila kitu ikifika siku akija kushit hautoweza kufanya chocho. na waweza sema huna bahati than you may regret yourselfSasa mankachara mbona ww uko tofauti na maandishi yako? 7bu kama A strongest man is the one who stand alone mbona ww uja stand alone? Na kama ungekuwa ume stand alone ungepita kimya kimya wala ucnge reply post yangu.
wewe fanya mipango yako na ukiwa kwenye right way hao marafiki watakuja automatic na utachagua unaemtaka. ukimfanya rafiki ndio kila kitu ikifika siku akija kushit hautoweza kufanya chocho. na waweza sema huna bahati than you may regret yourself