M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Nov 15, 2013 #341 Ablessed said: Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana. Click to expand... Asante sana sana Ablessed BAK yuko jela tunamkosa sana humu aise Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ablessed said: Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana. Click to expand... Asante sana sana Ablessed BAK yuko jela tunamkosa sana humu aise
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Nov 15, 2013 #342 Ablessed said: Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana. Click to expand... ^^ Salaam nimezipata Ablessed Ufanikiwe Ktk juhudi zako ^^ Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ablessed said: Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana. Click to expand... ^^ Salaam nimezipata Ablessed Ufanikiwe Ktk juhudi zako ^^
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Nov 16, 2013 #343 Himidini said: ^^ Salaam nimezipata Ablessed Ufanikiwe Ktk juhudi zako ^^ Click to expand... Amina na wewe pia ufanikiwe mkuu ktk kila utakalotia mkono wako Bwana na akubariki
Himidini said: ^^ Salaam nimezipata Ablessed Ufanikiwe Ktk juhudi zako ^^ Click to expand... Amina na wewe pia ufanikiwe mkuu ktk kila utakalotia mkono wako Bwana na akubariki
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Nov 16, 2013 #344 Mr Rocky said: Asante sana sana Ablessed BAK yuko jela tunamkosa sana humu aise Click to expand... Yaani nimehuzunika sana kusikia BAK yuko jela . Hivi inachukua muda gani mtu kufunguliwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Asante sana sana Ablessed BAK yuko jela tunamkosa sana humu aise Click to expand... Yaani nimehuzunika sana kusikia BAK yuko jela . Hivi inachukua muda gani mtu kufunguliwa
M mr.kinwiko Member Joined Nov 2, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Nov 17, 2013 #345 Natuma salamu zangu kwa wanajamiiforum wote, bila kumsahau rafiki yangu Ezekiel kilindila akiwa uyole, Mbeya. Ujumbe; Salamu ni nusu ya kuonana.
Natuma salamu zangu kwa wanajamiiforum wote, bila kumsahau rafiki yangu Ezekiel kilindila akiwa uyole, Mbeya. Ujumbe; Salamu ni nusu ya kuonana.
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Nov 17, 2013 #346 Ablessed said: Yaani nimehuzunika sana kusikia BAK yuko jela . Hivi inachukua muda gani mtu kufunguliwa Click to expand... Ablessed inategemea na adhabu yake na kosa alilofanya kwa kweli ila tushamwombea sana BAK afunguliwe sijui akina Paw na Invisible hawasikii na Moderator na JF Moderator 1 Buchanan Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ablessed said: Yaani nimehuzunika sana kusikia BAK yuko jela . Hivi inachukua muda gani mtu kufunguliwa Click to expand... Ablessed inategemea na adhabu yake na kosa alilofanya kwa kweli ila tushamwombea sana BAK afunguliwe sijui akina Paw na Invisible hawasikii na Moderator na JF Moderator 1 Buchanan
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,217 Nov 17, 2013 #347 napenda kutuma salamu kwa paroko Kaizer....wimbo wa "uko wapi ? wa kinondoni revival choir unamhusu Rich woman popote pale ulipo salamu zikufikie waburudike na wimbo wowote wanaoupenda wao Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
napenda kutuma salamu kwa paroko Kaizer....wimbo wa "uko wapi ? wa kinondoni revival choir unamhusu Rich woman popote pale ulipo salamu zikufikie waburudike na wimbo wowote wanaoupenda wao
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,031 Nov 22, 2013 #348 Ablessed said: Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana. Click to expand... Thank you sister Ablessed Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ablessed said: Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana. Click to expand... Thank you sister Ablessed