NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,314
Karibu Loliondo!
air tel wameleta na vifurushi vya e mail safi sana. Tuli kumis sana rev. Maombi yako yanahitajika katika kipindi hiki cha kwaresma ili watu wamrudie mungu hapa jf.
Karibu Loliondo!
JK yupi....Juma Kaseja?