Tuliwalinda zaidi CDM - Polisi aliyekuwepo Ndago

Huyo askari kwanini hakuchukua hatua kama walibain kuna kundi la vjana wa CCM wamejikusanya na mkutano c wao na tena iwapo walipewa taarifa kua CDM wangetukana kwanini hawakuzua hlo? Hyo ndgu yako askari atakua kilaza.
 
CDM kirekebishe mwenendo wake,laa sivyo kinajipaka kinyesi kwa watanzania ambao walishaanza kukiamini

Sasa ijirekebishe kwa lipi iache kwenda kufanya mikutano ya hadhara kuimalisha chama? nadhani wewe ndio ubadilishe mwenendo wako wa kulishwa propaganda za CCM na ukaziamini.
 
Ndugu yangu ambaye ni polisi aliyeshiriki kulinda mkutano wa CHADEMA Ndago- Singida amelalamikia sana lawama zinazorushwa kwao kuwa hawakuchukua hatua zozote za kuwalinda CHADEMA.

Kwa mujibu wake anasema kazi waliyoifanya ni kubwa kuliko inavyofikiriwa kwani ni kweli walishapata taarifa kuwa CDM wanakwenda kumtukana Mwigulu na vijana wa CCM walikuwa wamejiandaa kwamba matusi yakirushwa tu wangejibu mapigo. Ilivyokuwa ni kweli vijana wa CCM walikuwepo mkutanoni na ilipotokea Mwikabe kuanza kurusha matusi wengi wakachukia sana na kuanza kulalama Kinyiramba "mukue, "mukue", "mukue", "mukue", wakimaanisha "apigwe" "apigwe", "apigwe", "apigwe".

Hivyo polisi walijitahidi sana kuzuia wale vijana wa CCM wasiwadhuru viongozi wa CHADEMA waliokuwepo pale akiwepo Mnyiramba mwenzao Mayu Dr Kitila Mkumbo. Ndugu yangu alishangaa sana baadaye kuona kundi la vijana wa CHADEMA waliokwenda kuwalinda ndiyo wanafanya fujo kwa kuwakimbiza wenzao na kwenda kumwuua mmoja nyumba ya jirani na wengine wawili kujeruhiwa vibaya sana.

Ila sasa kibao kinawarudia wao polisi eti walishindwa kulinda mkutano wa CHADEMA, ukweli anasema wasingefanya kazi yao wale viongozi wa CHADEMA wangedhurika sana. Kwake yeye hatakuwa tayari kulinda mkutano wa CHADEMA tena.

Source: Mawasiliano yangu na askari ndugu yangu aliyekuwepo kulinda mkutano wa CHADEMA Ndago - Singida.
Hadithi hii ni kama ya Tariq Aziz. Kama walijua kuna dalili za fujo, mbona hawakuleta FFU mapema?
 
hao polisi walichujua uamuzi gani baada ya wana chadema kuanza kuwakimbiza wana ccm?
 
hao polisi walichujua uamuzi gani baada ya wana chadema kuanza kuwakimbiza wana ccm?

Walibaki wakiwalinda CDM pale mkutanoni wakatoa taarifa ya kuongezewa nguvu zaidi. Wangeondoka kufuatilia Mnyika na Mayu Dr Kitila Mkumbo wangedhuriwa pia!
 
Unakaribiswa, tukufundishe siasa. Unafikiri ubungo kuna mazuzuzu.

Goodluck Mwangomango


Natangaza nia mapema: Baada ya kufanya utafiti wa kina na kujiridhisha nimeamua kutangaza nia mapema kwa wanaTunuru wenzangu na kuwa sasa nimejipanga kugombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama CHa Mapinduzi. Naamini Chama kitaniamini na naami ntashinda kwa kuwa Mbunge aliyeko sasa kashindwa kumaliza na kufanya kazi kama alivyotuaidi na kauli mbiu yake ya "AMUA". Naamini Mnyika ndiye mbunge dhaifu kuliko wabunge woote wa Upinzani hivyo nguvu kubwa ntaiweka kuhakikisha chama kinaniami na kwenda kuangusha chelewa iliyoegeshwa ukutani(John Mnyika). Natangaza rasmi kuwa John Mnyika ni Chelewa iliyoegeshwa ukutani, ntamuangusha 2015. Mungu nisaidie
 
[h=6]Goodluck Mwangomango
[/h][h=6]Natangaza nia mapema: Baada ya kufanya utafiti wa kina na kujiridhisha nimeamua kutangaza nia mapema kwa wanaTunuru wenzangu na kuwa sasa nimejipanga kugombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama CHa Mapinduzi. Naamini Chama kitaniamini na naami ntashinda kwa kuwa Mbunge aliyeko sasa kashindwa kumaliza na kufanya kazi kama alivyotuaidi na kauli mbiu yake ya "AMUA". Naamini Mnyika ndiye mbunge dhaifu kuliko wabunge woote wa Upinzani hivyo nguvu kubwa ntaiweka kuhakikisha chama kinaniami na kwenda kuangusha chelewa iliyoegeshwa ukutani(John Mnyika). Natangaza rasmi kuwa John Mnyika ni Chelewa iliyoegeshwa ukutani, ntamuangusha 2015. Mungu nisaidie[/h]

wewe ni wa kupuuzwa!
 
Goodluck Mwangomango


Natangaza nia mapema: Baada ya kufanya utafiti wa kina na kujiridhisha nimeamua kutangaza nia mapema kwa wanaTunuru wenzangu na kuwa sasa nimejipanga kugombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama CHa Mapinduzi. Naamini Chama kitaniamini na naami ntashinda kwa kuwa Mbunge aliyeko sasa kashindwa kumaliza na kufanya kazi kama alivyotuaidi na kauli mbiu yake ya "AMUA". Naamini Mnyika ndiye mbunge dhaifu kuliko wabunge woote wa Upinzani hivyo nguvu kubwa ntaiweka kuhakikisha chama kinaniami na kwenda kuangusha chelewa iliyoegeshwa ukutani(John Mnyika). Natangaza rasmi kuwa John Mnyika ni Chelewa iliyoegeshwa ukutani, ntamuangusha 2015. Mungu nisaidie
labda utajipaka poda upendeze zaidi kwa vile hio 2015 serikali ya ccm haitakuwepo wala hilo halijajificha lipo wazi angalia tu mambo ya serikali ccm sikiliza wabunge wenyewe wa ccm wanavyolalamika sio police wala mahakama wala halimashauri kuna unafuu kote giza....namnukuu spika na lukuvi wakimsifia mnyika wewe ni takataka safi
 
Huna lolote nyoka wa Mwigulu.... muda mrefu wap mnafi kapokee posho umemaliza

Ukiona mtu anatumia meno kukuuma wakati mnapigana ngumi ujue umeshamlemea, ndivyo ilivyo hapa JF ukitoa hoja yenye mashiko wengine wanakuja na matusi, sikujibu kama ban lamba mwenyewe
 
Huyo askari ndugu yako aache kazi kwani alipaswa kulinda mkutano wote bila kujali vyama,kwa maneno mengine askari wamelinda na kifo cha Mpiinga
 
Mwambie huyo ndugu yako aache kazi kabisa. Hivi inaingia akili mjue kuwa cdm watamtukana burn alaf mruhusu mkutano nyie askari tunao wajua! Vicent nyerere amewatetea sana lakini nyie bado amnataka kuendelea kuongwa elfu kumi.

Kwanza hawezi akakataa kulinda mkutano wakati amepangiwa kulinda,anakudanganya tu, hana jeuli hiyo!
 
nduguyo,wewe na kiongozi wake nduguyo wote mnatakiwa kubustiwa akili zenu, kabla ya mkutano kuanza viongozi wa cdm walitoa tahadhari kuhusu mpango uliokuwa umepangwa na mwigulu sasa nduguyo hakusikia tahadhari hiyo? Na kama aliisikia walichukua hatua gani yeye pamoja na boss wake?na je mauaji yalitokea saa ngapi?baada ya mkutano au mkutano ukiendelea? Nadhani intelegensia yenu bado imelala fofofofo


Mauaji yalitokea wakati mkutano ukiendelea nyumbani kwa mwalimu mmoja hivi. Yaani huyo aliyeuawa alikimbizwa kama paka kaiba nyama na akaenda kupigwa kule kule mpaka akafa. Polisi waliogopa kuondoka mkutanoni kwa sababu lengo ilikuwa ni kuwalinda kina Mnyika, Mayu Dr Kitila Mkumbo na Jemedari Mwikabe Mwita
 
hakuna jipya kati ya wote CCM, Chadema na Police kwani wote wanahucka ktk umwagaji damu uliotokea iramba
 
Kwa jinsi ulivyo hujui, hadi unatia huruma!
Hili neno la kinyiramba "mukue" maana yake 1)"mpigeni" 2)mkwe
ikiwa umelitumia kwa maana ya kwanza, una maana hao waliokuwa wanasema "mukue" ndio walihatarisha amani kwa kuchochea fujo. walikuwa wanawaambia nani wampige, Manake kama mtu angekerwa na matusi angechukua hatua binafsi, hiyo ilikuwa ni ogernized crime. Tulitarajia muhubiri political tolerance, hakuna asemaye maneno hayo! hao watu walijiandaa mwigulu asitukanweeeee ama mwigulu alijiandaa kudilute hotuba kali dhidi yake kutoka kwa john mnyika! Walah hao watu ingekuwa zama za abunasi wangetuambia ni lini tutakufa, yaani wanaijua akili ya john mnyika kwa kila atakacho kukifanya!!! Naamini MWIGULU MWISHO WAKE UTAKUWA MBAYAAAA.
Kumbuka mwigulu amezoea kujificha kwenye miongozo na taarifa bungeni utaratibu alioutafsiri "kuwarushia mawe ili hotuba isiendelee" kwa kumbukumbu yako MWIGULU amewahi kumpinga mbunge wa viti maalum Kristowaja Mutiinda chadema alipouliza ni lini serikali itapeleka waalimu kwenye sekondari za kata ambazo zinakimbiwa na wanafunzi na majengo kugeuka maskani ya popo kwenye jimbo la iramba magharibi, alitaja specific schools.
Mwigulu "Taarifa mh. Spika.
Makinda "enhe taarifa mwigulu ncheemba"
"Mh. Spika kuna watu humu hawajui muunganiko wa kisekta, sekta ya maji ikiwa na tatizo, sekta ya elimu nayo itakwama, sekta ya miundombinu isipokuwa sawa sawa sekta zingine zitaathirika sekta ya . . . . . . . " UPUUZI MTUPU!!!

Hakuna mwanairamba magharibi anayeweza kujitoa muhanga kutetea kanakwamba mwigulu asisemwe vibaya isipokuwa amenunuliwa!! KAMA ANAJIAMINI KUWA ANAUNGWA MKONO SI ATULIE ANYOLEWE, KWENYE MAJIMBO TOFAUTI NA IRAMBA ANAKWENDA, ANATUKANA, INAKUWAJE NONGWA WENZAKE KWENDA JIMBONI KWAKE?
 
Back
Top Bottom