Tuliwalinda zaidi CDM - Polisi aliyekuwepo Ndago

Ukiona mtu anatumia meno kukuuma wakati mnapigana ngumi ujue umeshamlemea, ndivyo ilivyo hapa JF ukitoa hoja yenye mashiko wengine wanakuja na matusi, sikujibu kama ban lamba mwenyewe
barn karudi vipi bado anakupumulia? akimaliza nijibu..
 
Nguvu kubwa ya nini ? wakati umesema unaenda kuangusha chelewa? Tatizo ni kuwa ndani ya CCM hakuna watu walioelimika ila wapo wasomi kama Mwigulu na wengine kusoma ni moja ya njia ya kufika kuelimika hivyo hakuna wenye elimu ndani ya CCM
 
jogi Songela mbwane Joginda we! Kikubwa CDM warudi tena, hamna haja ya maneno meeeeeeeeeeeeeengi wakati tunataka chorus
 
Last edited by a moderator:
tamuchungu Lazima pembeni yake kuna changudoa linamchuna na kumsifia alimradi akate pochi, Mwambie asidhani Mungu ni katibu kata, humuombi mungu kuwa kuhani wewe!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu

Nimetumwa bila ujira mkuu!
"Ni heri kuwa mjinga kuliko mpumbavu"
Kama huna cha kuandika tulia usitufanye wote ni watoto wadogo.hao vijana walioleta fujo sio wa Ndago walitoka dar kwa Mwigulu na majina tunayo.Na kama hao polisi walikua wamesikia kwanini wasiongeze ulinzi mapema au kuzuia mkutano?
Ondoa upuuzi wako humu ndani.
 
"Ni heri kuwa mjinga kuliko mpumbavu"
Kama huna cha kuandika tulia usitufanye wote ni watoto wadogo.hao vijana walioleta fujo sio wa Ndago walitoka dar kwa Mwigulu na majina tunayo.Na kama hao polisi walikua wamesikia kwanini wasiongeze ulinzi mapema au kuzuia mkutano?
Ondoa upuuzi wako humu ndani.[/QUOTE

Mhhh matusi ooooohh hapana sitakiwi kujibu!
 
Songela mbwane Joginda we! Kikubwa CDM warudi tena, hamna haja ya maneno meeeeeeeeeeeeeengi wakati tunataka chorus

Ee maayu mudweenke! Epa tai ne umujukulu wa ke madelu sikukeatuke-ea iintyuki ya kumbele kena penaalushongelia pikyenge mwakaazu?
Kuleegie uulu ashamama!! Kukatale kupyopotwa.

Specific kwa wanandago na iramba magharibi kwa ujumla. You can get google translated
 
Walibaki wakiwalinda CDM pale mkutanoni wakatoa taarifa ya kuongezewa nguvu zaidi. Wangeondoka kufuatilia Mnyika na Mayu Dr Kitila Mkumbo wangedhuriwa pia!
Maelezo fyongo kama haya muwe mnawapa watu wasio na uwezo wa kufikiri kama ninyi wenyewe! Unatumia nguvu nyingi kutetea upumbavu badala ya kujenga hoja yenye ushawishi.
 
Uzushi mtupu, vijana wa ccm walienda kufanya nini kwenye mkutano wa CHADEMA?
 
Ee maayu mudweenke! Epa tai ne umujukulu wa ke madelu sikukeatuke-ea iintyuki ya kumbele kena penaalushongelia pikyenge mwakaazu?
Kuleegie uulu ashamama!! Kukatale kupyopotwa.

Specific kwa wanandago na iramba magharibi kwa ujumla. You can get google translated

Iza mbwane ewe, ila nu nyie mutite fujo sana mbwane, mwana muntu wakia mu mikono yanii ze mukua kijenze mbwane!

Special kwako Jogi.

Tuache utani Mnyika hakupswa kwenda Ndago, ni uchokozi!
 
Hao CDM inaonyesha hawana shukurani ,na hapo hawatoki kama waliwavuka polisi na kuingia majumbani kuanza kuua ,ni bora wanemuua huyo polisi kuliko kuingia majumbani kama wanasaka ndezi ,ni hatari sana kuwa na vyama aina hii ,viongozi wanashindwa kuwadhibiti wanachama wao ,na ukiona hivyo ujue hakuna chama hapo.

Je kama palikuwa na vurugu kwa nini mkutano hakuzuiwa kuendelea?kichwa chako kisiwe nakil na bandika, je wangapi walikamatwa kabla ya kifo kutokea?
 
Iza mbwane ewe, ila nu nyie mutite fujo sana mbwane, mwana muntu wakia mu mikono yanii ze mukua kijenze mbwane!

Special kwako Jogi.

Tuache utani Mnyika hakupswa kwenda Ndago, ni uchokozi!

Naomba kupima uelewa wako.
Mwiguli nchemba aligawa pikipiki jimboni kawe za nini!!!

Epa gua penaazutyuuswa neelasi ka sika nugunua ne kenaazushanelelia,
munidyoolo nouga "laa uu uluuu uuu"
 
Sasa polisi huyu mwambie hajui kazi yake maana kisheria kutoa matusi adharani ni makosa ,kwahiyo alitakiwa baada tu ya kusikia matusi kutoka kwa viongozi wa cdm kuwashusha jukwaani na kuwapeleka kituoni kwa kuwafungulia mashitaka ya kutoa matusi adharani.kwahiyo huyo polisi hajui kazi yake.
 
Hao CDM inaonyesha hawana shukurani ,na hapo hawatoki kama waliwavuka polisi na kuingia majumbani kuanza kuua ,ni bora wanemuua huyo polisi kuliko kuingia majumbani kama wanasaka ndezi ,ni hatari sana kuwa na vyama aina hii ,viongozi wanashindwa kuwadhibiti wanachama wao ,na ukiona hivyo ujue hakuna chama hapo.

Kiongozi anayeweza kuhamasisha ugomvi bungeni,1 ya mihimili mikuu ya dola kwa kutaka mlango ufungwe wazipige against wenzao wa mlengo mwingine atawezaje kudhibiti wanachama wavuta bangi wao wasifanye madhara?
 
Back
Top Bottom