GE2025 Tuliwaambia huu Uchaguzi utavurugika. Kiko wapi?

GE2025 Tuliwaambia huu Uchaguzi utavurugika. Kiko wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baada ya tarehe 29 mtajisifu kuwa tishio lenu limepunguza watu walioenda kupiga kura. Yaani malengo ya ujinga wenu yatabadilika.
 
Dawa ni kukata vidole cya hawa wasenge watakaoshiriki uchafuzi unaoitwa uchaguzi hiyo tarehe 29,tuwasake kilq kichochoro na Lila mlango ,hawa matahira ni tatizo na ndipo tuanze kudeal na hawa wasenge parasites wa mfumo .U safi unaanzia ndani ,hatuwezi kuendelea kuishi na machoko ,masaliti yanayotumika kuendeleza mfumo dhalimu unaoliangamiza taifa
Yani unaacha kudili na serikali unadili na wananchi wenzenu eti kisa wanaenda kupiga kura. Nasupport maandamano ila huu unaotaka kufanya ni ujinga. Mnataka kutisha kila mtu sasa, wakati mafisadi mnawajua. Bure kabisa
 
elimu ya kupiga kura kwa usahihi imetolewa sana tu, sasa kama ataharibu kura kwa makusudi si ataonekana endapo kila chumba cha kupigia kura kitafungwa cctv?
kula ni siri, hakuna cctv inayoonyesha umeandika nini
 
Wagombea wengine ni kina nani, nisijeharibu kura.
yupo kunje, mwajuma, donyo, ambar, busungu, semandito, mwalimu na wengine wanaosindikiza huku kampeni zao haijulikani kama wametembea nchi nzima au wameishia njiani vikaragosi hao wasio na aibu kufanya kampeni dhaifu
 
Poa bro ahsante kura yangu haitaharibika 😃
 
yupo kunje, mwajuma, donyo, ambar, busungu, semandito, mwalimu na wengine wanaosindikiza huku kampeni zao haijulikani kama wametembea nchi nzima au wameishia njiani vikaragosi hao wasio na aibu kufanya kampeni dhaifu
Jamaa wamepita mijini tu na walikuwa wanaweza kupigia kampen hata mbele ya duka tu maana wao hawana malori ya kukusanyia wasikilizaji
 
kelele za mitandaon tu izo
tarehe 29.10.2025 ni siku ya kupiga kura sio siku ya maandamano
 
Back
Top Bottom