GE2025 Tuliwaambia huu Uchaguzi utavurugika. Kiko wapi?

GE2025 Tuliwaambia huu Uchaguzi utavurugika. Kiko wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuliwaambia tutafanya maandamano na hamtafanya uchaguzi, kwa sababu tulikuwa sahihi na tulikuwa tunafahamu kuhusu uwezo wenu wa msingi
 
CCM mlikitaka wenyewe
 
Walichukulia poa ,kisha wakaja na maneno ya kwenye kanga mamamamaaaeee,wacha tuwaonyeshe
 
Walichukulia poa ,kisha wakaja na maneno ya kwenye kanga mamamamaaaeee,wacha tuwaonyeshe
Walipopitisha magari ya Waarabu nikajua kazi imeisha, CCM ilikuwa imeinvest sana kwenye uchawa na kutisha watu, badala ya mijadala
 
Back
Top Bottom