osc michael
Member
- Sep 10, 2017
- 57
- 99
Mi nilikuwa najua, yeyote anayekaa mjini kafanikiwa kimaisha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Me nilikua najua mwanaume ndio anazaa albino
Dah mkuu uko vizuri sana mulemule.Dah nimekumbuka kitambo sanaNamba yenyewe no 6969