Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,063
Sijui kwanini tulishangilia pale Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomwambia Naibu Rais wa Bunge la Africa, St. Masele, asiitike wito wa Spika wa Bunge, Job Ndugai na aendelee na majukumu yake.
Lile lilikuwa ni kosa na kutoheshimu uhuru wa muhimili mwingine. Kosa kubwa mno!
Yes, kuna udhaifu mkubwa sana kwa Bunge letu la sasa na namna Ndugai anavyoliendesha, lakini tusiruhusu precedence mbaya kama ambayo PM alitaka kuiweka.
Nampongeza Mhe. Masele kwa kuonesha nidhamu na kuitika wito wa Spika, Job Ndugai. Nimemuona akitinga bungeni asubuhi ya leo >>

Mbunge Stephen Masele awasili Bungeni Dodoma kuitikia wito wa Spika Ndugai - JamiiForums
Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele amewasili Bungeni Dodoma, baada ya kuagizwa na Spika Job Ndugai kufika mbele ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, kujibu tuhuma zinazomkabili za utovu wa nidhamu
www.jamiiforums.com