Tulitakiwa tukemee kitendo cha Kassim Majaliwa kuingilia Muhimili wa Bunge..

Siku hizi kila kitu ni sayansi ndiyo maana utasikia bachelar of arts in polical sayansi, bachelar of science in human resources e.t.c
Mwishowe utasema hata kukwepa kodi ni some kind of science.

Halafu ni bachelor. Sio bachelar.
 
Mtoa mada hii ni muhimu ukaelewa kuwa unaishi kwenye nchi yenye mfumo unaoitwa EXECUTIVE,ina maana muhimili huu ni winners take all,wale waliopo pale magogoni ndio buck stop on them,na elewa wapangaji wa magogoni wana uwezo wa kulifuta Bunge!na kuitisha uchaguzi mkuu muda wowote.nchi yetu sio ya kikatiba ambayo ingeifanya mahakama kuwa ndio mlezi wa katiba ila kwa sasa katiba inalelewa na wapangaji wa magogoni.
 
Pm asihusishwe na sakata hili ni wazi Ndugai amelemewa na ameshindwa kuelewa kuwa ktk Sakata la masele yupo puke yake. Kamati ikikamilisha kazi ikawasilisha bungeni itakataliwa tu
 
Naona 2020 atapatikana spika mwingine mambo ya ovyo watu wameyachoka afadhali atoke tu..
 
Ameshindwa kujiongeza kuwa kesi ya masele yupo peke yake na wabunge waliowengi ni ccm halafu umuazimie na atapitisha hilo Azimio
 
Sijui kwanini tulishangilia pale Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomwambia Naibu Rais wa Bunge la Africa, St. Masele, asiitike wito wa Spika wa Bunge, Job Ndugai na aendelee na majukumu yake.

Lile lilikuwa ni kosa na kutoheshimu uhuru wa muhimili mwingine. Kosa kubwa mno!

Yes, kuna udhaifu mkubwa sana kwa Bunge letu la sasa na namna Ndugai anavyoliendesha, lakini tusiruhusu precedence mbaya kama ambayo PM alitaka kuiweka.

Nampongeza Mhe. Masele kwa kuonesha nidhamu na kuitika wito wa Spika, Job Ndugai. Nimemuona akitinga bungeni asubuhi ya leo >>

Kumbuka maneno ya CAG
 
PM hapaswi kulaumiwa! Hali ya Bunge KUINGILIWA na kudharauliwa sii ya Leo kwa masele, Ndugai alishalishusha Hadhi Bunge kiasi kwamba kila mtu kwenye executive anaona anaweza kuliingilia! Wa kulaumiwa Ni Ndugai kwa KURUHUSU haya yote!
 
Kwahivyo MTU anafanya shughuli muhimu nje ya nchi akiitwa kimabavu katikati ya utekelezaji wake asisaidiwe, kuingiliwa ndiyo nini mbona bunge linaiingilia serikali? Mbona serikali inakamata wabunge hata kuwafunga...ulichokiona kibaya no waziri mkuu kutaka kazi iwekwe saw a kwanza ndipo masele aje? Nonsense...
 
Kwani PM si ndio kiongozi wa Shughuli za Siri-kali mjengoni? hii maana yake hata na yeye ni kiongozi mjengoni na hivyo ana mamlaka yake.
 
Sijui kwanini tulishangilia pale Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomwambia Naibu Rais wa Bunge la Africa, St. Masele, asiitike wito wa Spika wa Bunge, Job Ndugai na aendelee na majukumu yake.

Lile lilikuwa ni kosa na kutoheshimu uhuru wa muhimili mwingine. Kosa kubwa mno!

Yes, kuna udhaifu mkubwa sana kwa Bunge letu la sasa na namna Ndugai anavyoliendesha, lakini tusiruhusu precedence mbaya kama ambayo PM alitaka kuiweka.

Nampongeza Mhe. Masele kwa kuonesha nidhamu na kuitika wito wa Spika, Job Ndugai. Nimemuona akitinga bungeni asubuhi ya leo >>

Acha uchochezi ww
 
Majaliwa hakusema Masele asiitikie, alisema aendelee kwanza na shughuli ya Bunge kule.
 
Back
Top Bottom