Tulitakiwa tukemee kitendo cha Kassim Majaliwa kuingilia Muhimili wa Bunge..

Nduli bin gai hafai kabisa kabisa kabisa kuwa kiongozi wa muhimili hata wa kijiji. Kwanza alitaka kumuua mgombea mwenzake baada ya kumpiga na kitu kizito kichwani na kupoteza fahamu.

Pili kama Masele alikiuka kanuni kwenye vikao vya Bunge la Afrika kwa nini asiadhibiwe na kuhojiwa huko ?
Nduli bin gai ana maslahi gani kwenye utendaji wa Bunge la Afrika lenye taratibu zake?

Ningekua Mimi ndio Waziri Mkuu kama kweli nilisema kuwa aendelee na kazi zake hakika nisingemkana ningesema kuwa ni kweli nimesema kwa sababu ni mambo yasiyotuhusu huko kwenye Bunge Lisilo na serikali ya Afrika Bali usanii tu wa wajanja kupiga hela huku Maslahi ya Afrika yakiporwa mpaka na wachina wavimba macho na wala nyoka.

Waafrika sijui wamelogwa na nani?
Watanzania tulitakiwa tumwache Msele ambwage yule Rais wa bunge la Afrika mbakaji then akirudi Tanzania tumpokee kwa nderemo na vigelegele badala yake tunamdidimiza.

Kwa udhaifa wa Nduli bin gay tunapoteza fursa kubwa sana ya kuitangaza nchi mana ile skendo ilikua inafuatiliwa na mataifa mengi.

Tungepata sifa kuwa na watu mahiri wenye kupigania haki na sheria Duniani.

Wakimtoa kule kwenye Bunge la Afrika tutapata nini na kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom