Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Achana kbs na mademu wa cbe na ifm..watamu sana!ila alikudharau sana aise🤣! Hahahaaa...tafuta hela wewe!Ila walikuwaga wachache sana, ilikuwa inatulazimu kuwaona wazuri tu hata mama wabaya, maana wa CBE na IFM walikuwa wanajiona sanaaaa... kuna mmoja wa CBE nilimtoaga out, nimenlewesha kinoma, akaja jamaa akamchukua alafu demu akajidai ananikataaa .. nikaondoka kwa uchungu sana.. next day demu ananiambia yule ni kaka yake 😂😂😂😂
Hata mimi nna wasiwasi na wewe umesomea chuo gani hadi uje uandike "mbaka"🤣Kuanzia mtoa uzi mbaka na baadhi ya wachangiaji ninamashaka na hivyo vyuo vyenu vilivyowatunuku hizo GPA.
GPA ya kuanzia 3.8 inaweza kukusaidia zaidi kwenye nafasi za u-lecture au kwenye vituo vya utafiti. Ila sehemu nyingine GPA yeyote Ile anaajirika bila shida. Chamsingi amefaulu interview YaoHeshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
mwisho wa siku tulipotezana kama miaka 9, akawaaatafuta nyumba ya kupanga, dalali akamleta kwangu bila kujua, ule msemo binadamu hukutana.. aliishiwa pozi na aibu juu .. aipoteza confidence yote.. na mie kwakua sikua naishi pale nilimuachaga rafiki yangu, nikampanganisha nikaanza jilia vitu for raha zangu nikitoka kubeba zege langu, hadi leo kapanga kwangu, sema nilisha acha kabisa hata kwenda hapo nimewaachia wazazi ndio wasiamie show.. 😂😂😂😂😂.. mtu wa Dar tech kumiliki demu CBE au IFM ilikuwa ujiko 😂😂😂 haikuwa kazi rahisi atiiAchana kbs na mademu wa cbe na ifm..watamu sana!ila alikudharau sana aise🤣! Hahahaaa...tafuta hela wewe!
Ndio ujue hapo kuna shida, taasisi kubwa kama ARU haiwezi kutoa GPA kubwa kama hiyo tena kwa kozi kubwa kama hiyo kwa mtu ambaye yuko very weak..Unawezaje kua na mashaka na taasisi kubwa kama Ardhi University??
Mkuu kwa mtu ambae amemaliza kozi kama yako miaka hyo ya 2009-2014,mbona naona kama ungekomaa ungekua vizuri, labda tu uliona ni kazi ngumu.Unawezaje kua na mashaka na taasisi kubwa kama Ardhi University??
Makazini humu hakuna cha gpa wala kasoma ukofisi niliyomo kuna gpa zote mshahara na cheo ni kilekile, mkuu wa kitengo ana lower second.
pia Kuna watu wenye first class wanaripoti kwangu na kuna watu wana second lower naripoti kwao.
maisha huku kazini ni vyeo, promosheni, n.k hizo gpa tupa kule
Mimi elimu yangu nimeishia darasa la nne enzi hizo kipindi cha mkoloni. Nipo nawatazama wasomi wenye GPA mbwambwa, aliye waambia kuwa na GPA kubwa ndio kupata ajira nani?Hata mimi nna wasiwasi na wewe umesomea chuo gani hadi uje uandike "mbaka"🤣
Hahahhaa, hatari sana mkuuHahaa pole mkuu...
Kama ni school ya pharmacy sishangai mkuu...[emoji23]
Unataka kua mkufunzi ? Researcher? Jambo gani hilo linakulimit sababu ya GPA?Kwa shule yangu ya chuo ilivyokuwa ngumu, hii nilionayo nimejipendelea sana. Sikustahili.
GPA yangu ndogo inanipa limit za fursa zinazohitaji GPA kubwa.
Je ninyi wenye GPA kubwa hali ikoje huko kileleni?
Kila unacho fanya fanya ubora wa juu wa uwezo wako, kama ni kusoma soma kwa bidii kwa kiasi Cha uwezo wako na kama n kufanya biashara fanya kwa bidii vile uwezavyo
Hakuna Cha kujutia
Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Na mpaka uitwe kwenye hiyo interview unadhani wanachuja kwa vigezo gani?GPA ya kuanzia 3.8 inaweza kukusaidia zaidi kwenye nafasi za u-lecture au kwenye vituo vya utafiti. Ila sehemu nyingine GPA yeyote Ile anaajirika bila shida. Chamsingi amefaulu interview Yao
Ila katika vyuo Bora Tanzania Ardhi University iko underated sana.kile chuo kuanzia koz zake practically wanafunzi wanafunzwa hasaUnawezaje kua na mashaka na taasisi kubwa kama Ardhi University??
Nimekuwa na allergy sana na kusoma lakini kitaa pamenichapa hadi natamani hizo field ila ndio hivyo GPA ni majangaUnataka kua mkufunzi ? Researcher? Jambo gani hilo linakulimit sababu ya GPA?