king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,153
Sikia sababu zao sasa we unataka kunambia cku hz kuna magari mapya yenye maelekezo kwny dashboard tofauti na magari ya miaka mi5 iliyopita? Duuuh watu hata vitu vibaya wanavyofanyiwa wenzenu nyie mnaviremba tu vionekane vzr experience ndo ina matter hapo iyo sio sheria au sindano bna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hueleweki.Hivi hayo magari computer control hayatumii krach wala staring??? Au
Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva, mpishi, mfagiaji, messenger wakajiendeleze wawe na vyeti vya f4 ilihali mabosi wao mawaziri, maRC, maDC, MP wasimamiz wakuu wa serikali ktk ngaz husika wakiongoza wakuu wa idara nyetinyeti na kututungia sheria na kutupitishia mikataba kwa niaba ya taifa zima wao hata hicho cheti cha std7 sio lazma kuwa nacho ili mrad ajue kusoma kuandika na kuhesabu bas amequalify kuhodhi ofisi....Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Acha sound zako we mwanamke kuna magari yanakuja yameandikwa Kijapan na watu wanapiga gear Dar-Congo.......kwa hili nadhani wamechemka.....halafu unaposema kuna magari ya dashboard zimeandikwa kingereza.....Je mliwafanyia test wakashindwa kuendesha au kupika.......punguzeni mahaba wakati kuna watu wana umia na hii hali.Nyie wa darasa la saba mnaolalamika hapa mmeambulia nini?
View attachment 557086
View attachment 557087
Hivi vinapatikana halmashauri ipi hapa nchini?? Watu ambao hata barabara zimetushinda kujenga hizo tehama unazotuonyesha tutazitoa wapi!?Nyie wa darasa la saba mnaolalamika hapa mmeambulia nini?
View attachment 557086
View attachment 557087
Mashudu hayaMagari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Umesahau BOT tuna PhD 17.Haya yote ni maamuzi ya "wasomi" Wapu.mbavu kwani inahitaji digrii kusafisha choo?Au kuendesha gari?Digrii zenyewe wanazozishobokea nyingi ni feki,ila kila jambo lina sababu ni muhimu tu kumshukuru Mungu kwa yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ulie tu au urudi shule.
We mwenye PHD ndivyo vitu vyako hivyo?Nyie wa darasa la saba mnaolalamika hapa mmeambulia nini?
View attachment 557086
View attachment 557087
Nenda kaajiriwe na wahindi kama hujasoma. Serikalini NO.Hivi vinapatikana halmashauri ipi hapa nchini?? Watu ambao hata barabara zimetushinda kujenga hizo tehama unazotuonyesha tutazitoa wapi!?
Let's be realistic ur example is irrelevant
Nina kazi yangu nzuri tu na Elimu ya kutosha sema ulichoandika ni pumbaNdiyo ulie tu au urudi shule.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyie wa darasa la saba mnaolalamika hapa mmeambulia nini?
View attachment 557086
View attachment 557087