Tuliozaliwa 'Leo (21 March)' tukutane hapa

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Habarini wandugu,

Vipi siku yako imeanzaje?
Umejipanga kusheherekea vipi?
Upo mkoa au maeneo gani?
kama inawezekana tudumishe umoja wetu wa kuzaliwa siku moja na ikiwezekana kukutana baadhi tukutane ili tufurahi pamoja.
Kwa upande wangu nipo Arusha.
Vipi wewe mwenzetu?
 
Happy birthday Ushimen....
Mungu akujaalie maisha marefu ukiwa mwenye hekima na busara.
Hongera kwa wazazi na mke anaekutunza.
Pitia keki faster tuikate jioni kwenye kamati ya baada ya kazi
 
Back
Top Bottom