Tuliowahi kuwanga usiku wa manane tukutane hapa. Je, ulitumia ungo, fisi? Nini changamoto?

Binafsi nilikuwa na bibi wakati fulani tunawanga but siku hiyo tulikatiza nyumba ambayo ilikuwa na mgeni kutoka Tanga tukanasa lugha za kichawi hizo ikawa pata shika nguo kuchanika bahati nzuri mkuu wa wachawi aliiona ile picha akatunasua wewe nawe lete changa moto zako
Huyu mkuu wa wachawa aliyewanua ki protocal alikua regional au zonal au national rank.maana ukinaswa na m babe huchomoki
 
Duuuuuuuu Damu ya Yesu ikitakase ushindwe na ulegeee na uteketeee usimwache mwanamke mchawi akaishi
Binafsi nilikuwa na bibi wakati fulani tunawanga but siku hiyo tulikatiza nyumba ambayo ilikuwa na mgeni kutoka Tanga tukanasa lugha za kichawi hizo ikawa pata shika nguo kuchanika bahati nzuri mkuu wa wachawi aliiona ile picha akatunasua wewe nawe lete changa moto zako
 
Hembu uje utupe somo siku hizi kule kwa watani zako moshi kuna uchawi umeibuka huko mawe yanarushwa tu kwenye nyumba amaerusha humuoni ila vioo mabati halali yake sasa najiuliza hawa wanga huwa wanajua kuja kutuonea tu huku kwa makabwela mbona Sehemu kama Ikulu na maeneo yanayofanana na hayo hawathubutu kwenda kunakuwa kuna nini toa somo
 
Jamanie kuweni serious basi.
Leteni changamoto kali kali ili tufunguane akili. Ulimwengu wa leo siyo wa kuficha uchawi.
Elimu ndo imenikomboa mwenzenu mpaka nilimuelimisha mkuu wetu wa uchawi akanipa kibali cha kuyasema haya tunaelimisha jamii tena bure basi.
Mkuu wangu Alifurahi kuongezea kundini wanachama wasomi
Ila uchawi wenu wa kindezi sana yaani ningekuwa mimi ndio wewe ningekuwa milionea now ningeingia bank kuchukua dollar kila uchwao
 
Hembu uje utupe somo siku hizi kule kwa watani zako moshi kuna uchawi umeibuka huko mawe yanarushwa tu kwenye nyumba amaerusha humuoni ila vioo mabati halali yake sasa najiuliza hawa wanga huwa wanajua kuja kutuonea tu huku kwa makabwela mbona Sehemu kama Ikulu na maeneo yanayofanana na hayo hawathubutu kwenda kunakuwa kuna nini toa somo
Hapa naweza kukusaidia kiakili za kawaida tu si kiuchawi, mengine ni kujiongeza tu mkuu fanya hivi;
Vaa Helmet km zile za boda boda, na suruali ngumu na koti gumu, elbow length gloves, mnaweza kuwa hata timu ya watu watatu au 4 hivi, kusanyeni mawe meengi myachemshe,kwa maji moto, pimeni mwelekeo yanakotoka mawe ya adui yenu, hapo sasa

Anzeni kujibu mapigo mfululizo kimyakimya bila kuongea wala kupumzika , wakati huo mmevaa Helmet zenu. dakika 15 ni nyingi mtasikia mtu anapelekwa Hosp. tena jirani kabisaa au ndg wa karibu.
Kuwachanganya zaidi msitoe siri hii, semeni kuwa mmepata dawa ya kuajili majini yanayorudisha mawe yaleyale lkn yanabadilishwa yanakuwa ya moto.
waambie km na wao wanashida hiyohiyo wanataka kinga semeni mganga yupo Bagamoyo- kijiji cha Msata karibu na mto Wame kuelekea Mandera mission.
 
Ni athari gani apatazo mtu pindi anaponyolewa nywele kichwani usiku?
 
Kingine....bwana Nyaru-sare inakuwaje mganga/mchawi anatoa dawa ya kuwa tajiri lkn yeye ni fukara?? kwa nini yeye au ndugu zake wasitumie hizo dawa?
 
Binafsi nilikuwa na bibi wakati fulani tunawanga but siku hiyo tulikatiza nyumba ambayo ilikuwa na mgeni kutoka Tanga tukanasa lugha za kichawi hizo ikawa pata shika nguo kuchanika bahati nzuri mkuu wa wachawi aliiona ile picha akatunasua wewe nawe lete changa moto zako
uchawi haupo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom