Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Wakati nipo O level nilikuwa na mahusiano na binamu yangu wa kike.Sasa kwa kuwa kipindi hiko hatukuwa na simu tulikuwa tunakuna usiku wakati wa kupiga msuli huku tunachat kwa kuandikiana kwenye daftari yani anaandika yeye kisha nanipa na Mimi namjibu kuepusha wazazi wasitusikie tukiongea tunajifanya bize kusoma kumbe tunapanga mipango ya kutiana.Sasa siku moja sijui tulijisahau vipi ebwanaeeee lile daftar likakamatwa na aunt duuu yani nilifedheheka sana mpaka Leo japo aunt hujawah kunambia ila ninapokuwa sipo huwa ananiongelea kuhusu huo mkasa dash ya nilijihisi aibu sana
Duuh
 
Hahah , aisee mshua angesoma hiyo text ungepata tabu mnooo
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
 
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
eti unaemdai dah
 
mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.

Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?

usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
Dahh hii dunia imejaa kila aina ya vituko
 
Dada yangu alikosea kutuma ikaja kwangu ilikua inasema (leo umenipa penzi tam ila dudu lako ni kubwa )
Na mimi nika mjibu ( kwahiyo leo tayari )kasema dogo kausha nikamwambia paka amesikia harufu ya samaki alafu ajifanye hajaisikia
Hadi leo haniangalii usoni
Na binam nishamla sababu ya kukosea sms nakomaa had na mimi anipe
 
huyo cster ako balaa..
 
Kuna siku manzi angu alikua anachat na kabishoo kake kanaitwa ka Rahim sijui!!Si akatuma kwangu et"Raheem nakupenda sana naomba usiniumize plz"Nikajua tu uyu boya kazama chakiume,nikamjibu"Duh.!Ilo jina la Raheem umenibatiza lini mamiloo?"akajichekesha kinafiki uku ana vibrate et analipenda tu ilo jina anapenda awe ananiita ivo au tukizaa mtoto tumuite Raheem,Nilichofanya ni kumualika ahudhurie geto anibatize rasmi ilo jina,Nilimhondomola kinyama alaf nikamtema apo apo.
 
Daaah umenkumbusha enzi nnamiaka 16 ndo nnaanza anza kuvijua videmu
Bas nkAwa nnakanokia fulan ka zamani hivi
Humo ndan kama namba kama kumi hivi
Basi nipozangu geto nnachart na kadem kangu nakapa maneno matamu tam yakitoto toto.. Yale kumbe nmesend msg kwa mzee bila kujua....... Nkaenda kwenye sebule yao inayopakana na master bedroom yao fast nikagonga nkamwambia mzee samahani nnashid na sim yakk dakika moja akanipa
Ile nnashika tu na msg ikwa ndo inaingia chaaaaaaaap!!!! Nkafuta nkawapa
Hapo tayari nkawa nakaz yakufua boxa na surual.... Nadhan mmeelew kilichofanyikap
:D:D:D:D:D nadhani ulijifunga goli
 
Dah, nakumbuka kama story mbili hivi,

Ya kwanza Nilikua namtumia demu wangu sms "mambo mrembo", kumbe nikaituma kwa mshua, dah nilichezea makofi heavy (nilikua o level)

Ya pili Nilikua nachat na mshikaji wangu kinoma noma, Kati Kati ya chatting nikamwandikia "wewe fala nenda ukany*e"" bahati mbaya ikaenda kwa shangazi, alinipigia simu, hila alijua nimekosea,

Mwisho, nilimtumia demu wangu sms "umesumeshakula" kwa haraka zangu nikaandika "umeshakuny*a"??........

Kwa kweli sitasahau.

Opondo ja shirati

unamuita dingi mrembo
 
Ha ha nikikuwa nna mademu wawili, wote nnachat nao sasa kuepusha kazi ya ziada kuna text ya kimahaba nimeandika vizuri nikaituma kwa wa kwanza nimeandika na jina lake, nilivyokuwa fala nika edit jina hapo hapo na kumtumia tena, afu demu mwenyewe alikuwa ana wasi wasi natoka na huyo mwingine daah nilipigwa chini hapo hapo
 
Na mshua kuna siku alinizingua nikamsave “ndezi” mwanzoni kabisa hizi apps zilikuwa zinakuletea option ya ku re commend kutuma kwa wengine wajiunge mimi nikaselect contact zote, kumbe ile app ina copy hadi jina kwenye simu linaunganisha kwenye text, mfano nimesave jina lako megapixel inakutumia meseji “megapixel flani invite you”. Daah siku ilikuwa ndefu maana mshua alinitext nani ndezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom