Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Nilikuwa nakatongaza kademu kitaani nimekapanga vizuri nikawa naelekea home nimebakiza kama mita mia tatu hivi kufika si nikamtumia mshua bwanaa bwanaaa niligeuka farasi sjui Lamborghini niliamsha yaan sms inafika simu inalia na mimi naingia bahati nzuri ilikuwa sebulen dingi anatizama habari nikajipigisha simu nikafanya kama mtu ananipigia kunitajia no nikaichukua kama nacopy namba nikafuta sms
 
Aiseeee, ww noma
mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.

Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?

usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
 
boya ww nimecheka kinoma eti " umnunulie dingi chipsi na gauni " hahahahaha
 
Baada ya shoo, dem kamtumia jamaa sms

Dem: nilivyokuwa nakuona nilidhani ni >>> kumbe --
Jamaa: na mimi nilidhini ni ( ) au (( )) kumbe ni ((( )))

Sasa hiyo sms nikiwa form four nikiwa nataka kumtuamia rafiki yangu baada ya kununua kasimu kangu ka nokia tochi.; bahati mbaya nikatuma kwa mama mzazi na chumba changu kilikuwa kimepakana na jiko.
Baada ya kuwa derivered nikaisikia na mama akajua tu nimekosea namba baada ya mimi kuanza kuidai simu yake kwa nguvu sana.
Ila aligoma kunipa maana alikuwa akinilaumu sana kwa kuanza kutumia simu nikiwa bado shule. Pia alitaka kujua kwa nini ninalazimisha kupewa simu yake

Baada ya kusoma ile sms, akaishiwa nguvu na kunipa simu. Nilijisikia vibaya sana siku ile na nikaifuta tu ile sms. Ninachoshukuru hakumpa simu mzee ingawa alikuwa pale pale jikoni wakipiga story, maana ningeaibika mara mbili.
sasa mama ndani si anamwambia mzee tu wanacheeeeka alafu mzee anakausha tu. wazazi wanajua kula kavu kumbe kila kitu wanajua.
 
Wakati nipo O level nilikuwa na mahusiano na binamu yangu wa kike.Sasa kwa kuwa kipindi hiko hatukuwa na simu tulikuwa tunakuna usiku wakati wa kupiga msuli huku tunachat kwa kuandikiana kwenye daftari yani anaandika yeye kisha nanipa na Mimi namjibu kuepusha wazazi wasitusikie tukiongea tunajifanya bize kusoma kumbe tunapanga mipango ya kutiana.Sasa siku moja sijui tulijisahau vipi ebwanaeeee lile daftar likakamatwa na aunt duuu yani nilifedheheka sana mpaka Leo japo aunt hujawah kunambia ila ninapokuwa sipo huwa ananiongelea kuhusu huo mkasa dash ya nilijihisi aibu sana
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena, nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu flani hivi ,bahati mbaya ikaenda kwa bi mkubwa,sms yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show(sex),niliandika sms yenye maneno mazuri mno alafu ile sijaangalia vizuri nikaituma hapohapo ikaandika sms derived,daah macho yalinitoka balaa,haikupita dk mbili mama anapiga simu na alikuwa mtu wa dini kwelikweli,simu inaita jasho linanivuja nawaza nimdanganye nini,kuna sms zingine hata kama mzazi anajua mwanangu amekua sasa lazima zitakutia aibu,nikapokea simu mama anasema "mwanangu nini sasa hiki na wewe,maliza masomo yako ya chuo kwanza mapenzi yapo tu kilasiku ngono zitakuua baba " ile fedheha siwezi kuisahau kabisa.
 
Dah, nakumbuka kama story mbili hivi,

Ya kwanza Nilikua namtumia demu wangu sms "mambo mrembo", kumbe nikaituma kwa mshua, dah nilichezea makofi heavy (nilikua o level)

Ya pili Nilikua nachat na mshikaji wangu kinoma noma, Kati Kati ya chatting nikamwandikia "wewe fala nenda ukany*e"" bahati mbaya ikaenda kwa shangazi, alinipigia simu, hila alijua nimekosea,

Mwisho, nilimtumia demu wangu sms "umesumeshakula" kwa haraka zangu nikaandika "umeshakuny*a"??........

Kwa kweli sitasahau.

Opondo ja shirati
yaaani dingi unamwandikia mambo mremboo aloooo sio mchezo waweza pigwa pigo cha mbwa koko
 
mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.

Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?

usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
Kaaaaaah
 
Nilikuwa nakatongaza kademu kitaani nimekapanga vizuri nikawa naelekea home nimebakiza kama mita mia tatu hivi kufika si nikamtumia mshua bwanaa bwanaaa niligeuka farasi sjui Lamborghini niliamsha yaan sms inafika simu inalia na mimi naingia bahati nzuri ilikuwa sebulen dingi anatizama habari nikajipigisha simu nikafanya kama mtu ananipigia kunitajia no nikaichukua kama nacopy namba nikafuta sms
ulicheza kama pele
 
ulikimbia kwa speed ya mwanga kama nakuona vile boya ulivyojikunjua.
 
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
Hii kali sanaaaa,pesa zikawekwa bank uendelee kutamba sasa...
 
Daaah umenkumbusha enzi nnamiaka 16 ndo nnaanza anza kuvijua videmu
Bas nkAwa nnakanokia fulan ka zamani hivi
Humo ndan kama namba kama kumi hivi
Basi nipozangu geto nnachart na kadem kangu nakapa maneno matamu tam yakitoto toto.. Yale kumbe nmesend msg kwa mzee bila kujua....... Nkaenda kwenye sebule yao inayopakana na master bedroom yao fast nikagonga nkamwambia mzee samahani nnashid na sim yakk dakika moja akanipa
Ile nnashika tu na msg ikwa ndo inaingia chaaaaaaaap!!!! Nkafuta nkawapa
Hapo tayari nkawa nakaz yakufua boxa na surual.... Nadhan mmeelew kilichofanyikap
 
Nilikuwa nakatongaza kademu kitaani nimekapanga vizuri nikawa naelekea home nimebakiza kama mita mia tatu hivi kufika si nikamtumia mshua bwanaa bwanaaa niligeuka farasi sjui Lamborghini niliamsha yaan sms inafika simu inalia na mimi naingia bahati nzuri ilikuwa sebulen dingi anatizama habari nikajipigisha simu nikafanya kama mtu ananipigia kunitajia no nikaichukua kama nacopy namba nikafuta sms
 
Nilikuwa nakatongaza kademu kitaani nimekapanga vizuri nikawa naelekea home nimebakiza kama mita mia tatu hivi kufika si nikamtumia mshua bwanaa bwanaaa niligeuka farasi sjui Lamborghini niliamsha yaan sms inafika simu inalia na mimi naingia bahati nzuri ilikuwa sebulen dingi anatizama habari nikajipigisha simu nikafanya kama mtu ananipigia kunitajia no nikaichukua kama nacopy namba nikafuta sms
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom