Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Kuna siku manzi angu alikua anachat na kabishoo kake kanaitwa ka Rahim sijui!!Si akatuma kwangu et"Raheem nakupenda sana naomba usiniumize plz"Nikajua tu uyu boya kazama chakiume,nikamjibu"Duh.!Ilo jina la Raheem umenibatiza lini mamiloo?"akajichekesha kinafiki uku ana vibrate et analipenda tu ilo jina anapenda awe ananiita ivo au tukizaa mtoto tumuite Raheem,Nilichofanya ni kumualika ahudhurie geto anibatize rasmi ilo jina,Nilimhondomola kinyama alaf nikamtema apo apo.
Daaaah we jamaaa
 
Mimi nilikua na simu kitochi, kuna demu nlimtongoza sasa jina lake linaanzia na r tukabadirishana namba! Rafik yangu nae alimtongoza demu mwingine akampa namba yangu yeye alikua hana simu, huyo demu nae jina lake linaanzia na r!! Huyo demu wa rafiki yangu akantext sikumjua ni nan maana namba ngeni, nikamwambia wewe ni r??? Akajibu ndio, tukapeana appointment...mgahaea fulani sinza mugabe, nikaazima simu ya sonyericson nkajitambe huko...

Demu kutokea sio yeye ikabidi nikaze kiume.....sasa nikawa namtumia meseji jamaa niliyemuazima simu
Mimi; Demu mwenyewe niliekuwa nachat naye sio yeye mbayaaaaaaa.
Dah kumbe meseji nimemtumia huyo demu tumekaa meza moja.. nkasikia meseji imeingia tintiii, akaisoma akaguna mh!! Aisee nlidharirika balaaa FANTASTIC
 
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
Wewe ndo uliua zaidi mzee
 
Nimeanza kumuelewa mshkaji wangu sasa.Yy ana madem kama wa 5 biv na wote anasema anawapenda.Ila sheria yake ya siku zote ni kwamba NEVER TEXT. Akitumiwa message yy hajib ila atapiga tu cm muongee mpaka mmalize.Hanaga kabisa utaratib wa message kwa madem kukwepa mambo kama haya.
 
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena, nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu flani hivi ,bahati mbaya ikaenda kwa bi mkubwa,sms yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show(sex),niliandika sms yenye maneno mazuri mno alafu ile sijaangalia vizuri nikaituma hapohapo ikaandika sms derived,daah macho yalinitoka balaa,haikupita dk mbili mama anapiga simu na alikuwa mtu wa dini kwelikweli,simu inaita jasho linanivuja nawaza nimdanganye nini,kuna sms zingine hata kama mzazi anajua mwanangu amekua sasa lazima zitakutia aibu,nikapokea simu mama anasema "mwanangu nini sasa hiki na wewe,maliza masomo yako ya chuo kwanza mapenzi yapo tu kilasiku ngono zitakuua baba " ile fedheha siwezi kuisahau kabisa.
Yaani bonge la fedheha sema tu wazazi wa kike ni waelewa sana.
 
Fala sana wewe

Rushwa ya ngono hii
Dada yangu alikosea kutuma ikaja kwangu ilikua inasema (leo umenipa penzi tam ila dudu lako ni kubwa )
Na mimi nika mjibu ( kwahiyo leo tayari )kasema dogo kausha nikamwambia paka amesikia harufu ya samaki alafu ajifanye hajaisikia
Hadi leo haniangalii usoni
Na binam nishamla sababu ya kukosea sms nakomaa had na mimi anipe
 
Kwenye group la watsap la wajukuu upande wa mama angu kuna siku brother etu mkubwa ambaye namuheshim sanaa alijichanganya bana akatuma picha ya manzi mweupee yuko uchi...aisee nilicheka sanaa.Baada ya muda nikaona deleted aisee nikaona sasa haya majanga.Maana ni mtu mzima halaf kaoa.
 

Similar Discussions

87 Reactions
Reply
Back
Top Bottom