Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Dah, nakumbuka kama story mbili hivi,

Ya kwanza Nilikua namtumia demu wangu sms "mambo mrembo", kumbe nikaituma kwa mshua, dah nilichezea makofi heavy (nilikua o level)

Ya pili Nilikua nachat na mshikaji wangu kinoma noma, Kati Kati ya chatting nikamwandikia "wewe fala nenda ukany*e"" bahati mbaya ikaenda kwa shangazi, alinipigia simu, hila alijua nimekosea,

Mwisho, nilimtumia demu wangu sms "umesumeshakula" kwa haraka zangu nikaandika "umeshakuny*a"??........

Kwa kweli sitasahau.

Opondo ja shirati
 
Umeachana nae? Tupe mkasa ulivoendelea bana.
Dah mi juzi nimetoka kwa mchepuko nikawa nautumia meseji ya kumshukuru kwa kunikatia kiuno vizuri...dah mara ile msg naona inaenda kwa wife, alipoisoma jicho alilonikata nlitamani kufa yaliyoendelea ni siri yangu
 
Dah, nakumbuka kama story mbili hivi,

Ya kwanza Nilikua namtumia demu wangu sms "mambo mrembo", kumbe nikaituma kwa mshua, dah nilichezea makofi heavy (nilikua o level)

Ya pili Nilikua nachat na mshikaji wangu kinoma noma, Kati Kati ya chatting nikamwandikia "wewe fala nenda ukany*e"" bahati mbaya ikaenda kwa shangazi, alinipigia simu, hila alijua nimekosea,

Mwisho, nilimtumia demu wangu sms "umesumeshakula" kwa haraka zangu nikaandika "umeshakuny*a"??........

Kwa kweli sitasahau.

Opondo ja shirati
Mkuu nimecheka sana dah....asante kwa kufanya usiku wangu murua
 
Mm nilikosea ktk mademu zangu nimpendae zaidi ni miss yani English figure but nina size ya kati na tipwatipwa sasa nilikuwa nachati na wote at the same time si nikakosea nikamwambia yule miss "ebwana fanya mazoezi upunguze huo ubonge juzi umenitoa jasho sana kukugeuza"
Huku huyu modal nna zaidi ya mwezi sijaonana naye ilibidi nifake"baby unajua umekuwa bonge mm napenda uwe vilevile"
Kumbe alishastuka na tunavyoongea hapa imebaki story
Aisee kukosea Msg iliwahi nikuta niliandika Msg ndefu ya mahaba mwisho nikaandika Jina la demu mwingine na Kumtumia demu mwingine...
 
a
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
hahaaaahaaa...yani dingi anakupa hela af unasema kuna mtu namdai kanilipa ?? angekuua wallah
 
haya mambo ya kumsave demu "mamy,,,"(tina,happy..or pendo) na mama kumsave "mamy" yalishaniponza...ile nyege zimenishka na mtoto wa watu anamori,,nikaandka, baby uwahi guest leo ntakukunja kama kambale..badala ya kusend kwa mamy tina,,nkasend kwa "mamy" ambae ni mama....asa nashangaa majibu hayaji na haikua smartphone..na huku home nlisem.. naenda church..weee nlichokaa
 
Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa.
Ha ha ha, hii kali
🤣🤣🤣
 
mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.

Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?

usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
hii noumaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom