Tuliowahi kutendwa/kupigwa kibuti tukutane hapa

Kuachwa ni hatari sana.nakumbuka nikiwa mwaka wa nne chuoni nilipigwa chini na manzi mmoja hivi bila sababu yoyote na ukizingatia siku tatu kabla ya kupigwa chini nilikuwa nimetoka kumfanyia shopping ya laki nne hela ya boom hiyo. Kiukweli nilijuta na kuwazia mkwanja wangu.

Kibaya zaidi akawa tena na mahusiano na jamaa ambae tulikuwa tunakaa wing moja. Hivyo kila nilipokuwa nikimuona moyo ulikuwa unalipuka na kupelekea niishiwe nguvu.

Kibaya zaidi uhusiano wetu ulikuwa unajulikana kwa kila mtu karibia chuo kizima. Hivyo ilikuwa hatari sana.

But niliwapata mademu wawili wasiojua kutenda mtu yani pombe na wadada wauza K.

Hivyo vitu ndivyo vilinisaidia kumsahau na kusahau mkwanja wangu.

Pia alisababisha GPA yangu kushuka kwa sababu muda wote nilikuwa ni mawazo na kunywa pombe tu. Hamu ya kupiga msuli ilipotea kabisa.
 
Kama suala la kutendwa mi nadhani kila mtu kashatendwa sema tunatofautiana kwa kutendwa hata demu au bwana wako kukataa ku sex na mpenzi wake nako ninkutendwa sema sie tunaangalia kuwaachwa na kusalitiwa tu ila mi haya yote yashanikuta na nashukuru mkipendana mmoja wenu akawa chini haya yote ni mapito tu ila penzi likiwa na ubishi ni matatizo matupu udanganyifu utakuwa mwibgi sana!!
 
Daah moyo vitu vinavyohusiana na mapenzi, maana nahisi kidonda cha maumivu bado hakijapona, demu wangu ameniacha na kuolewa tena bila kuniambia nimepata habari kwa shoga yake na nasikia ana mimba, yani mapenzi daaaah basi tu sina cha kufanya,
 
Mm niliwahi kusalitiwa alafu Mimi ndiyo nikamuachaa ila kile kitendo kiliniumiza mnooo tena mnoo
Ah...we uliachwa sema tu hujajua sometimes mtu anakuwa kakuchoka ila kukwambia hawezi so unatengenezewa mazingira kero,maudhi hadi unaghaili mwenyewe unaamua kuachia ngazi anajifanya kulalamika km bdo anakutaka hv kumbe anatafuta kuondoka kidiplomacy bila lawama!
 
Nakumbuka vibuti vilifululiza ikanibidi ni stop kama miezi 6 hivi nikapata rikizo ya kutotongoza kwanza.
Usitongoze demu ukiwa na nyege nyingi....lazma kibuti kikuhusu cz unajikuta unaongea pumba nyingiii.....demu hata bdo haujamuandaa kisaikolojia unajikuta tiar ushalopoka...maneno mazitu....mara ooho....nitakubinua......mbwembwe kibao demu lazma akuzimie simu
 
Pia baada ya kutendwa
Nikaanza kutenda
Mmja nilimvunja kingoz then nikapiga chini, alichanganyikiwa
Baadaye mkristimatic
Nikawa naye then nikapiga chini, alichanganyikiw mpk akalazwa, alivyozinduka anataja jina langu, ikabid wachukue simu yake kuchek, du ikabid Dada mtu anitafute wala sikuelewa
Baba paroko akaanza kumshauri na kumjenga kimawazo, kazoea ila mpk leo ananipenda sana
Wengine nawaacha tu wala hawaumii
Nilishazoea,napenda kuona mwanamke ananililia,mimi huwa nafurah sana
U are a saddist my friend...!!!
 
Ah...we uliachwa sema tu hujajua sometimes mtu anakuwa kakuchoka ila kukwambia hawezi so unatengenezewa mazingira kero,maudhi hadi unaghaili mwenyewe unaamua kuachia ngazi anajifanya kulalamika km bdo anakutaka hv kumbe anatafuta kuondoka kidiplomacy bila lawama!
Sidhani ingekuwa ni hivyo hadi Leo asingekuwa ananifatilia angeshaniachaaa maana nimeanza mahusiano wakati bado nipo shuleni hadi Leo hii nikitambo mnoo tena anataka anioe kabisa
 
Mimi niliachwa 2011, tulikuwa tunafanya mahusiano ya kidini hakuna kuombana papuch, nilijitahid kuhudumia na boom yeye akiwa advance
Doo, nikapigwa chini
Niliumia ila uwezi amin mwaka huu mwanzoni nimekutana naye amehitimu ualimu na ajira hakuna nikamlaghai kwa kutaka kumuoa tareh 04.02.2017 nikamdukua
Kumbe wala si mtamu
Nina wiki 2 tangu nimempiga chini, nikamtumia picha za demu wangu mkaliii zaid yake mpk umbo na utamu wa kitandan

Nina aman maana angalau nimemuonja si kwa kunitenda vile bila kuchungua hata pichu
Nusura niliwe kichwa pale SUA
Wewe bado mshamba samahani lkn
 
Ha ha ha haaa. Nilipigwa kibuti moja hiyo sitosahau,i was half craze ooh.akamdate my friend. What a craze man!!??
After 3months akaja kuniomba msamaha,etiiii i was attempted by the evil devil friend of yours. nikamkubalia.
Akadaaataaaa mwenyewe kuona boya si Ndio huyu,nimemuacha nimetembea na rafiki yake hawezi Hata kunikataa.
Tukatoka out za kutosha,I chop his money mpaka nakuja kumpa kibuti haamini. Akaniuliza why unaniacha with no reason?? nikamwambia pesa si imeisha. Alilia Kama mtoto anadai ela zake,nkamwambia i didn't love you this time,I wanted to show you inauma vepeee.
Nkamuuliza ulivyorudi ulidhani mi boya eeh,I was waiting for this.
Aisee kile kibuti kilimfanya akafukuzwa Hadi kazi for being alcohol addict,akawa ananiita karma.
Fucking karma
una undugu na Israel eeh.
Mi sitaki Hata kukumbuka aisee yaliyonitokea. Bora nicheke tu Haya uliyoya hadithia kuachwa ni shughuli pevu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom